Ali kiba vs Tundaman

Ali kiba vs Tundaman

Mshamba wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,857
Reaction score
3,593
Habari!

Husika na kichwa cha habari hapo juu.

Hivi nani zaidi kati ya hawa wasanii wawili?
 
Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
Mkuu aisee umenifurahisha mpk nimecheka kwa nguvu ndani ya daladala watu wananishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahahaaaaaah...
JF bhana...
Watu wana maneno..!
Huyu ametisha kwa kweli hyo comment yake sijui hata alikuwa anafikiria nini kipindo anaandika[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
huyu mleta mada nae anampambanisha alikiba na vitu vya ajabu alikiba ile ndo sauti yake ata akiimba jukwaani haibadiliki sauti yakuongea na kuimba ni tofauti
 
Mkuu aisee umenifurahisha mpk nimecheka kwa nguvu ndani ya daladala watu wananishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole sana mkuu... I hope hawakukuchaji nauli kubwa.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Leo at least mmelingamisha watu wano endana.

Ila mi naona Tundaman ndio bora
 
Mmoja anaimba utafikiri kabanwa na mlango while mwingine anaimba kama anaomboleza... Bush man vs funeral services choir(in terms of maombolezo)
Mkiletewa majibu ua mitihani yenu na necta mmepata 0 mnalalamika ooh serikali haitaki kufaulisha watu, kumbe nyinyi ndo mnamatatzo. Mtoa mada kauliza nani zaidi wewe unaanza kutoa utofauti kwan umeulizwa compare and contrast au umeulizwa who is the best.
Ndalichako ana kazi kubwa
 
Mkuu aisee umenifurahisha mpk nimecheka kwa nguvu ndani ya daladala watu wananishangaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Jitahidi ununue gari mkuu huoni ushazeeka?
Alafu upunguze tabia ya kucheka cheka.
 
Back
Top Bottom