Ali kumuombea kura Diamond, inapendeza lakini isiwe danganya toto

Ali kiba hajamfollow mtu hata mmoja huko
Sasa utasemaje anawajua personally?
Au anafurahishwa na hayo?
Yeye alishawaomba wampigie kura,kama hawataki yeye afanyaje?
Kumfahamu mtu instagram sio lazima uwe umemfollow!!
Pia nimefurahi alivyomuombea kura ila hizi timu zinavyofanya hiyo kampeni kumpinga Dee na yeye ananyamaza tu ndio inaleta mashaka kama kweli alimaanisha alichosema..
 
Ali kiba hajamfollow mtu hata mmoja huko
Sasa utasemaje anawajua personally?
Au anafurahishwa na hayo?
Yeye alishawaomba wampigie kura,kama hawataki yeye afanyaje?
Kibakuli ana account nyingine insta n fan page n anaicontrol yeye kawa follow team yke nzima n ndo hao hao aliowalika kula pilau n anawajua na ndo hao wamenzisha izo kampeni vote 4 wiz kid wakat wiz kid mwenywe haitaki iyo tuzo akawasahau pwilo na @sharcode wa j.f roho ziliwauma
 
Kumfahamu mtu instagram sio lazima uwe umemfollow!!
Pia nimefurahi alivyomuombea kura ila hizi timu zinavyofanya hiyo kampeni kumpinga Dee na yeye ananyamaza tu ndio inaleta mashaka kama kweli alimaanisha alichosema..
Sasa yeye afanyaje?
Jiweke kwenye nafasi yake, Ali afanyeje?
 
Sasa yeye afanyaje?
Jiweke kwenye nafasi yake, Ali afanyeje?
Ingekuwa ni mimi ningeweka post moja tu inatosha, kuwaonya mburula wote walioanzisha hizo kampeni za kumsapoti wiz, kuwaonya na kuwakataa kuwa sijawatuma..
 
we jamaa ndo una mambo za kitoto, mtu kamwombea kitu mtu fulan alafu eti hyo danganya toto, upuuuz, twaaaaaggghh
 
I find this thread girlish, but so many comments from men.
 
Ingekuwa ni mimi ningeweka post moja tu inatosha, kuwaonya mburula wote walioanzisha hizo kampeni za kumsapoti wiz, kuwaonya na kuwakataa kuwa sijawatuma..
Wala hana haja ya kuprove chochote.Ametimiza wajibu wake Kama msanii.
Akisema na kuwaonya ataulizwa ni nani aliyemtuhumu kuwa yuko upande wa wanaowapigia wapopo.

Acha iwe kama ilivyo!!
 
Unawezaje ku prove uhusikaji wa Alikiba kwenye hyo campaign?
Unafiki tu

Alichofanya ni kumuombea Diamond kura...hayo mengine ni yako wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…