Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #21
Hahaha!! Sawa kiongozi, unafanya nini sasa humu kwenye malapulapuHakuna mada hapa zaidi ya uchafu na malapulapu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha!! Sawa kiongozi, unafanya nini sasa humu kwenye malapulapuHakuna mada hapa zaidi ya uchafu na malapulapu
Kumfahamu mtu instagram sio lazima uwe umemfollow!!Ali kiba hajamfollow mtu hata mmoja huko
Sasa utasemaje anawajua personally?
Au anafurahishwa na hayo?
Yeye alishawaomba wampigie kura,kama hawataki yeye afanyaje?
Kibakuli ana account nyingine insta n fan page n anaicontrol yeye kawa follow team yke nzima n ndo hao hao aliowalika kula pilau n anawajua na ndo hao wamenzisha izo kampeni vote 4 wiz kid wakat wiz kid mwenywe haitaki iyo tuzo akawasahau pwilo na @sharcode wa j.f roho ziliwaumaAli kiba hajamfollow mtu hata mmoja huko
Sasa utasemaje anawajua personally?
Au anafurahishwa na hayo?
Yeye alishawaomba wampigie kura,kama hawataki yeye afanyaje?
Sasa yeye afanyaje?Kumfahamu mtu instagram sio lazima uwe umemfollow!!
Pia nimefurahi alivyomuombea kura ila hizi timu zinavyofanya hiyo kampeni kumpinga Dee na yeye ananyamaza tu ndio inaleta mashaka kama kweli alimaanisha alichosema..
Andika kiswahili vizuri mkuu! "ko" ndo nini??ko wew umeona ally kiba ni mzee wa danganya toto sana.
Ingekuwa ni mimi ningeweka post moja tu inatosha, kuwaonya mburula wote walioanzisha hizo kampeni za kumsapoti wiz, kuwaonya na kuwakataa kuwa sijawatuma..Sasa yeye afanyaje?
Jiweke kwenye nafasi yake, Ali afanyeje?
Wewe ukiwa mmoja wapoI find this thread girlish, but so many comments from men.
Wala hana haja ya kuprove chochote.Ametimiza wajibu wake Kama msanii.Ingekuwa ni mimi ningeweka post moja tu inatosha, kuwaonya mburula wote walioanzisha hizo kampeni za kumsapoti wiz, kuwaonya na kuwakataa kuwa sijawatuma..