Ali Mayai anza na kocha wa Taifa Stars

Ali Mayai anza na kocha wa Taifa Stars

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Kwanza nimpe hongera kwa kuteuliwa katika nafasi hiyo.

Jana niliangalia mechi ya Namungo na KMC nikamuona kocha wa Namungo ambaye ndie kocha was timu ya soka ya Taifa, Janza, akiongoza timu.

Kiukweli huyu kocha ni kama anachanganyikiwa kwa kuwa na timu mbili wakati mmoja. Mbona yule aliyeondoshwa hakuwa na timu mbili wakati mmoja?

Namuomba naibu mkurugenzi wa michezo alione hili kwa macho mawili na kushinikiza Janza apunguziwe majukumu au kama yupo hapo kiujanja ujanja tu.
 
Timu apewe Adolf Richard na Mexime waache huru wasiwaingilie.
 
Back
Top Bottom