Kyawanjubu
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 2,452
- 2,197
Alieishiwa hoja lazima atakimbilia kwenye ubaguzi kama mnavyomchafua Malinzi kwa ukabila sasa hivi mnaniita mimi mkenya.Ni ajabu mkenya wa kibera anapokuwa na uchungu na soka la Tanzania
Hapa Ally mayai tu
Kama Nyamlani yupoKuna mtu mmoja alipata umaarufu kwa kukatia wagombea rufaa kipindi Malinzi anaingia vip msimu huu yupo wap
Mmoja wapo kati ya Malinzi au Nyamlani ndio ataibuka mshindi hao Maveterani wa soka hakuna kitu.
Umeona kwenye uzi huu wanazungumzia nn?Anafaa kufanya nini,kucheza mpira au kuendesha roli?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hahahaha Mkuu hongera sana naona umeenda kufanya tafakuru ya nguvu na kurudi na kauli nzito. Au jana Mayay alikushtua sana alipoenda kuchukua form akiambatana na wakina Julio?Mmoja wapo kati ya Malinzi au Nyamlani ndio ataibuka mshindi hao Maveterani wa soka hakuna kitu.
Naona unadandia treni kwa mbele.Umeona kwenye uzi huu wanazungumzia nn?
Mkuu mbona unachangia bila kujua ni nn kilichopo mezani
Unayo hoja .Bifu kuhusu nini?tuwekeeni historia na mafanikio yake kiuongozi hapa.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hoja ipo .Hapa panatakiwa mtu mwenye combination mbili.Ameshawahi kucheza mpira na awe na elimu ya uongozi.Kucheza mpira tu hakumaanishi ndiyo upewe uongozi wa TFF...
AaaaaMayai namfananisha na wakina Hashimu Rungwe kwenye mbio za Urais wa Tanzania.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Vipi Diva amekupiga za chembe nini ndio unakuja kutoa hasira zako kwa Baba yake?Kweli nmeamin ile tafiti ya TWAWEZA
Kwamba watanzania wengi ni vichaa
Ivi bado mtu unamtete malinzi kwa kipi alichofanya kwenye hii sekta?
Au kisa ana mtto wa kike mzuri diva ndyo mnajipendekeza?
Endelea na uzuzu wako
Mkuu hill povu usilimwage lote nalihitaji nilowekee manguo yangu ya gereji.Endelea na uzuzu wako
Mtu anarudisha form ya kugombea Urais TFF ww unawaza udereva wa lori, ww utakua sawa na Bashite
Baba yake kipi amefanya?Vipi Diva amekupiga za chembe nini ndio unakuja kutoa hasira zako kwa Baba yake?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Diva ameingiaje hapa?Baba yake kipi amefanya?
Hafai hata kuja kuisimamia timu Yangu stakhishari Fc
Wewe si upo jaribu kibitiUsidhani kila mtu yupo TZ au ana access ya hiyo Efm na pia hutakuwa hutendi haki kama unabishana kwa hoja na wenzako badala ya kuwajibu hapa hapa wewe unawaambia waende kupata majibu ya maswali yao sehemu nyingine.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app