Ali Mayai Tembele, Mtemi Ramadhani warudisha fomu urais TFF

Ali Mayai Tembele, Mtemi Ramadhani warudisha fomu urais TFF

Mmoja wapo kati ya Malinzi au Nyamlani ndio ataibuka mshindi hao Maveterani wa soka hakuna kitu.
Hahahaha Mkuu hongera sana naona umeenda kufanya tafakuru ya nguvu na kurudi na kauli nzito. Au jana Mayay alikushtua sana alipoenda kuchukua form akiambatana na wakina Julio?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Kweli nmeamin ile tafiti ya TWAWEZA
Kwamba watanzania wengi ni vichaa
Ivi bado mtu unamtete malinzi kwa kipi alichofanya kwenye hii sekta?
Au kisa ana mtto wa kike mzuri diva ndyo mnajipendekeza?
 
Hapa panatakiwa mtu mwenye combination mbili.Ameshawahi kucheza mpira na awe na elimu ya uongozi.Kucheza mpira tu hakumaanishi ndiyo upewe uongozi wa TFF...
 
Kweli nmeamin ile tafiti ya TWAWEZA
Kwamba watanzania wengi ni vichaa
Ivi bado mtu unamtete malinzi kwa kipi alichofanya kwenye hii sekta?
Au kisa ana mtto wa kike mzuri diva ndyo mnajipendekeza?
Vipi Diva amekupiga za chembe nini ndio unakuja kutoa hasira zako kwa Baba yake?

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Usidhani kila mtu yupo TZ au ana access ya hiyo Efm na pia hutakuwa hutendi haki kama unabishana kwa hoja na wenzako badala ya kuwajibu hapa hapa wewe unawaambia waende kupata majibu ya maswali yao sehemu nyingine.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Wewe si upo jaribu kibiti
 
Back
Top Bottom