Ali Mufuruki on ITV: Kilimo kwanza kiliishia wapi? Viwanda vya Saruji kupata hasara si ishara nzuri

Ali Mufuruki on ITV: Kilimo kwanza kiliishia wapi? Viwanda vya Saruji kupata hasara si ishara nzuri

Kuna habari kule Twitter zinasema kafariki leo asubuhi
 
Ni kweli aisee Ali Mufuruki hatunae kafariki dunia leo asubuhi.
 
Nimemsikiliza, ana mambo mazuri sana na uelewa mkubwa wa masuala ya uwekezaji na mitaji.

Alitolea mfano Singapore, wanapotafuta mwekezaji, wanakuwa wamefanya utafiti wa kutosha juu ya uwezo was Hugo mwekezaji wanayemtaka, na wao kama nchi wanakuwa pia wamekwisha Fanya utafiti wao na kuweka mazingira rafiki, pamoja na kumhakikishia faida atakayopata.

Pia wanamhakikishia Sera zisizobadilika badilika kwenye uwekezaji. Nimemfurahia sana, na watendaji wetu has a TIC na Waziri wa viwanda na biashara, wana kitu cha kujifunza.

Amedai, huwezi kusema tunataka kuwa nchi ya viwanda bila kuainisha aina ya viwanda, mkakati wa kupata wataalamu, mkakati wa kupata malighafi na masoko pia. Akatoa mfano, Tz kwa mwaka wahitimu mainjinia ni 1,200 nchi yenye watu milioni 50 wakati Singapore watu mil 30 inawahitimu zaidi ya laki moja kwa mwaka.
Singapore wako watu milioni 30....!!!! Hii sio kweli. Wako about 5m.
 
Mambumbu wa ccm wakiongozwa na ccm wanajua mwekezaji atatoka china kwa kuwa ccm ina uhusiano na chama tawala cha china,akili yao haiwasaidie kuelewa kuwa mwekezaji ni mfanyabiashara na kwa mfanyabiashara faida na uhakika wa mali zake ni priority ,wao kila kitu ni siasa tena siasa nyepesi na uchwara
 
Mfuruki ni mjanja mjanja tu wa hapa mjini. Fobes wanasema Jamaa yupo top 10 kwa matajiri Tanzania, wakati jamaa hatujui kabisa bussness zake zaidi ya maduka ya Wolwoth sidhani kama ana kiwanda or tangible investment

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjui wewe na nani?.Binafsi huyu Jamaa tulisoma shule moja na tulilala bweni moja kule Moshi. Ni mfanya biashara mzuri hata taifa linamjua. Siku nyingine kama kitu hukijui uliza kwanza.
 
Is Africa really "rising" | Ali Mufuruki | TEDxEuston
323,783 views

Published on 30 Dec 2014
This talk was given at a local TEDx event, produced independently of the TED Conferences. Is Africa really "rising"

ALI A. MUFURUKI :
holds a B.Sc.in Mechanical Eng. Design from the Reutlingen University, Germany, 1986. He was a Member of the Board of Directors of the Tanzania Central Bank, Member of the Board Directors Technoserve, Inc. of Washington, DC and Board Member of Nation Media Group of Kenya .He currently serves as Chairman of the Board Wananchi Group Holdings Kenya, Chairman of The CEOs’ Roundtable of Tanzania, Trustee–Mandela Institute of Development Studies (MINDS), Johannesburg, South Africa, Chairman of the Board of Chai Bora Ltd, Tanzania, Chairman of Muhimbili University (MUHAS) Grants Committee, Council Member of Dodoma University, Member of the Presidential Investors Roundtable of Uganda (PIRT), Member of the Tanzania National Business Council (TNBC), Member of the Advisory Group on Sub-Saharan Africa (AGSA) for the International Monetary Fund (IMF). He is a Henry Crown Fellow of The Aspen Institute Class of 2001 Founder and Chairman of The Africa Leadership Initiative (ALI) East Africa. Mufuruki is married with four children.
Source : TEDx Talks

c.c Elli Mhariri Active Mod Mod Five
 
Back
Top Bottom