Kuna habari kule Twitter zinasema kafariki leo asubuhi
Dah kamfuata MengiDaaahhh mwaka mbovu huu
Unamwamini Zitto?Nimeona kwa Zitto kuwa kafariki
Acha brother ...hiki kitu sio kabisaDah kamfuata Mengi
Singapore wako watu milioni 30....!!!! Hii sio kweli. Wako about 5m.Nimemsikiliza, ana mambo mazuri sana na uelewa mkubwa wa masuala ya uwekezaji na mitaji.
Alitolea mfano Singapore, wanapotafuta mwekezaji, wanakuwa wamefanya utafiti wa kutosha juu ya uwezo was Hugo mwekezaji wanayemtaka, na wao kama nchi wanakuwa pia wamekwisha Fanya utafiti wao na kuweka mazingira rafiki, pamoja na kumhakikishia faida atakayopata.
Pia wanamhakikishia Sera zisizobadilika badilika kwenye uwekezaji. Nimemfurahia sana, na watendaji wetu has a TIC na Waziri wa viwanda na biashara, wana kitu cha kujifunza.
Amedai, huwezi kusema tunataka kuwa nchi ya viwanda bila kuainisha aina ya viwanda, mkakati wa kupata wataalamu, mkakati wa kupata malighafi na masoko pia. Akatoa mfano, Tz kwa mwaka wahitimu mainjinia ni 1,200 nchi yenye watu milioni 50 wakati Singapore watu mil 30 inawahitimu zaidi ya laki moja kwa mwaka.
Kwa hiyo tukuamini wewe chakavu?Unamwamini Zitto?
Ahahahahahahahah!Kwa hiyo tukuamini wewe chakavu?
Mambumbu wa ccm wakiongozwa na ccm wanajua mwekezaji atatoka china kwa kuwa ccm ina uhusiano na chama tawala cha china,akili yao haiwasaidie kuelewa kuwa mwekezaji ni mfanyabiashara na kwa mfanyabiashara faida na uhakika wa mali zake ni priority ,wao kila kitu ni siasa tena siasa nyepesi na uchwaraNimemsikiliza, ana mambo mazuri sana na uelewa mkubwa wa masuala ya uwekezaji na mitaji.
Alitolea mfano Singapore, wanapotafuta mwekezaji, wanakuwa wamefanya utafiti wa kutosha juu ya uwezo was Hugo mwekezaji wanayemtaka, na wao kama nchi wanakuwa pia wamekwisha Fanya utafiti wao na kuweka mazingira rafiki, pamoja na kumhakikishia faida atakayopata.
Pia wanamhakikishia Sera zisizobadilika badilika kwenye uwekezaji. Nimemfurahia sana, na watendaji wetu has a TIC na Waziri wa viwanda na biashara, wana kitu cha kujifunza.
Amedai, huwezi kusema tunataka kuwa nchi ya viwanda bila kuainisha aina ya viwanda, mkakati wa kupata wataalamu, mkakati wa kupata malighafi na masoko pia. Akatoa mfano, Tz kwa mwaka wahitimu mainjinia ni 1,200 nchi yenye watu milioni 50 wakati Singapore watu mil 30 inawahitimu zaidi ya laki moja kwa mwaka.
Hamjui wewe na nani?.Binafsi huyu Jamaa tulisoma shule moja na tulilala bweni moja kule Moshi. Ni mfanya biashara mzuri hata taifa linamjua. Siku nyingine kama kitu hukijui uliza kwanza.Mfuruki ni mjanja mjanja tu wa hapa mjini. Fobes wanasema Jamaa yupo top 10 kwa matajiri Tanzania, wakati jamaa hatujui kabisa bussness zake zaidi ya maduka ya Wolwoth sidhani kama ana kiwanda or tangible investment
Sent using Jamii Forums mobile app