zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kwahiyo Israel haina mipaka? Au hata ramani kusoma huwezi? Cha ajabu idd Amin alipodai ardhi ya kagera tulimuita mvamizi ila kwa Israel ni halali.Hakuna ardhi ya wapalestina pale ile ardhi ni ya waisraeli bwana hata waarabu wanalifahamu hilo.