zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Kwahiyo Israel haina mipaka? Au hata ramani kusoma huwezi? Cha ajabu idd Amin alipodai ardhi ya kagera tulimuita mvamizi ila kwa Israel ni halali.Hakuna ardhi ya wapalestina pale ile ardhi ni ya waisraeli bwana hata waarabu wanalifahamu hilo.
Ceasefire sababu Israel inaua raia sio hezbollah.Kama ni wababe kwa nini mnalilia na kubembeleza mpate ceasefire? Acheni wapigwe ķidogo baadaye mtapewa hiyo ceasefire mnayoililia
Vita hii magaidi wa Hezboullah waliianzisha wenyewe kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Iran nawashangaa sana mbapotoa milio ya kutaka kuhurumiwa!!!Ceasefire sababu Israel inaua raia sio hezbollah.
Kumbe unajua kuwa hakuomba, maana yake aliyeomba ceasefire ndio dhaifu.Iran yeye kakubali ceasefire
Yale yale ya Hamas ** wanaokufa si Hamas** Utafikiri Magaidi wao hawafi maana wanajua sana kukwepa risasi na Mabomu ya Israel.Kumbe unajua kuwa hakuomba, maana yake aliyeomba ceasefire ndio dhaifu.
Iran kaweka masharti kuwa kama ni ceasefire basi iende hadi Lebanon nothing to do na hezbollah maana wanaokufa ni wananchi sio hezbollah
Hujitambui wewe, sasa ugomvi na Hebzollah ya nini kulipua majengo na makanisa wakati Hezbollah ni ya Shia population pekee?Hakuna haja ya ceasefire kwa magaidi wa Hezboullah maana ugomvi huu haukuwa wao waliingilia tu kujifanya wanamtetea na kumsaidia bwana wao Iran kwa nini sasa wanalilia ceasefire? Walijiona miamba Acha wapambane tuone nani ataibuka kidedea
Majengo,Makanisa au Misikiti kama yanatumika na Magaidi ni lazima tu yabomolewe maana zimekosa hadhi ya kuitwa Makanisa au Misikiti.Hujitambui wewe, sasa ugomvi na Hebzollah ya nini kulipua majengo na makanisa wakati Hezbollah ni ya Shia population pekee?
Hata Gaza Magaidi wa Hamas mlikuwa mnasema hivyo hivyo kuwa kuna Wakristo wako huko wengi kumbe nyumba hizo za Ibada zinatumika na Magaidi kushambulia watu wasio na hatia huko Israel.Hapo kusini wamejaa wakristo kwanini nao wanauwawa kama wanatakiwa kupambana na Hezbollah?
Magaidi wa Hezboullah ndiyo walianzisha hii vita kwa hiyo acheni kujilizaliza pongezeni tu kipigo anachopewa Hezboullah huko Lebanon maana ni halali yake kabisaKapiganeni na Hezbollah acheni raia ambao hata wengine hawaiungi mkono Hezbollah kabisa maana sio serikali ile wala chama tawala.
Tusubiri matokeo ya kikao lakini shida ni kwamba siku zote hawa magaidi wanawatumia raia kama ngao na ndio maana huwezi kusikia wakitangazwa kwamba wamekufa kadhaa kwa sababu huwezi kuwatofautisha na raia.Kumbe unajua kuwa hakuomba, maana yake aliyeomba ceasefire ndio dhaifu.
Iran kaweka masharti kuwa kama ni ceasefire basi iende hadi Lebanon nothing to do na hezbollah maana wanaokufa ni wananchi sio hezbollah