Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kapime naye mara kadhaa kwa interval ya miezi mitatuWaliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.
Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
Kama mpaka leo huna maambukizi basi hupati tena maambukizi peleka motoWaliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.
Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
hakuna hicho kitu wote tunashare same risk.Wengine wana damu eti za Orh+ inasemekana wao ni nini vile,
Tumia kinga tu mjukuu
Wana watoto??Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.
Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
Group Gani la damu mkuuWengine wana damu eti za Orh+ inasemekana wao ni nini vile,
Tumia kinga tu mjukuu
Jamiiforums hamishieni topic za hivi kwenye mipasho ondoeni hapa kwenye siasaWaliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.
Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.
Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
Ndio damu gani hiyo mkuuWengine wana damu eti za Orh+ inasemekana wao ni nini vile,
Tumia kinga tu mjukuu