Aliachana na mumewe baada ya kupima HIV yeye akaonekana hana maambukizi. Anataka anipe mzigo. Je nipige?

Aliachana na mumewe baada ya kupima HIV yeye akaonekana hana maambukizi. Anataka anipe mzigo. Je nipige?

Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15.

Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive.

Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
We mle na usisahau kuzama chumvini
 
Asa ww uliomba mzigo wa nn km una hofu tena?, nadhani ungebaki na hofu yako tu
 
Back
Top Bottom