Aliachiwa Huru au kwa dhamana?

Aliachiwa Huru au kwa dhamana?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
ni swali la uelewa zaidi kwa msanii Lulu
 
ni swali la uelewa zaidi kwa msanii Lulu
Yuko nje kwa dhamana kesi bado....alipewa dhamana baada ya mahakama kujiridhisha kesi aliyonayo ya kujibu ni ya mauaji bila kukusudia ambayo kisheria dhamana iko wazi...tofauti na ukiwa na kesi ya kujibu ya mauaji...
 
Back
Top Bottom