Alianza Kiboko ya Wachawi sasa Tony Kapola naye kuwadharau "Wajinga wanaoamini kwenye Manabii Fake"

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
Habari za Sabato!

Kiboko ya Wachawi aliwapa wapumbavu haki yao kikatiba kama asemavyo Malisa.

Naona Tony Kapola naye kawatukana majitu majinga anayoyalia pesa au yanayoliwa pesa na Manabii wa mchango.

Kapola ni wachungaji wa mchango hilo hata yeye analijua na mara nyingi anakiri hilo kwenye mahubiri yake. Tatizo akili mgando hawamuelewi.

Wewe mtu anakuambia amefufua mtu, ulisikia wapi mtu aliyekufa akafufuka. Wapi na lini? Kama sio akili mgando.
Haya, unaambiwa Gesi imejazwa kwa kupulizwa 🤓 huoni kama unatukanwa?

Kesho utaambiwa Gari lilikuwa limeisha mafuta likakojolewa mikojo likaenda. Utafanya nini na wewe ni ndondocha. Maana hata mbuzi huwezi mdanganya.

Nimefurahishwa sana na Kapola alivyowanyoosha wapuuzi puuzi.

Kapola endelea kujipigia wajinga hao. Wao waende nyumba mbavu ya mbwa huko bondeni Tandale kwa tumbo, wewe nenda kiti cha enzi katika jumba la kifalme ulilolijenga kwa Sadaka za Malofa.

Wachape wajinga hao!

Sabato njema tena!
 
Hao Wana tofauti gani na kina PLPL,Mange,Kigogo,Tanzania Leaks et all?

Wacha wajinga waliwe wajanja wapige pesa.

Mwisho dini ni siasa iliyojificha kwenye kichaka Cha Imani.
 
🤣😂😂

Mimi nafurahi kuona vijana kama Kapola wakijiajiri na kutumia rasilimali watu(wajinga) waliopo ndani ya taifa kujinufaisha.
Lakini kuna muda anawachapa bakora kama leo kawatolea uvivu
 
Yule mke wake uwa ni muigizaji sana, Mtu anae igiza kashika dini sana huwa ana onekana tu hauitaji kuonyeshwa
 
Karne hii nikikutana na mtu ambaye anaamini kuna manabii sijui miujiza mara maombi huwa moja kwa moja namuweka kwenye kundi la wagonjwa wa akili, hata mazungumzo baina yangu na yake yanakuwa mafupi sana
 
Maisha yakinipiga sana nafungua kanisa.
IMG-20250808-WA0010.jpg
 
Mwanamke usimpe nafasi ya kuongea sana hachelewi kuchomesha anaweza hata kukusababishia ufunguliwe majalada ya uchunguzi mke wake anasema "Tuna gari nyingi hadi najiuliza serekali itatuchukuliaje, juzi nilimuita wakili wetu nikamwambia nahofia usalama wangu"

Sasa sijui ilikua na umuhimu gani kusema hayo maneno hadharani
 
Back
Top Bottom