Yaani alibaba pako hivyo mm mwanzo nilikua nafuta app yao naidownload upya nikiona shipping ipo juu nafuta tena sahv inabidi nianze kuzoea tuHabari za majukumu Nimejaribu kupita Alibaba kuangalia namna ya kununua bidhaa kwa bei ya jumla
lakini cha kushangaza gharama za usafirishaji zipo juu kuliko gharama za kununulia mzigo
Kama kuna mzoefu aliewahi kununua mzigo nje na akasafirisha atusaidie View attachment 1221947
Bro ndo umeagiza iyo brauzii
Brauzi kwani hiyo au 'Kwego'?
Yaani alibaba pako hivyo mm mwanzo nilikua nafuta app yao naidownload upya nikiona shipping ipo juu nafuta tena sahv inabidi nianze kuzoea tu
Mwlm rct atupe uzoefu huwa anafanyagaje hili la ughali wa shipping
Mwl rct Yuko wapi Jaman 😇Yaani alibaba pako hivyo mm mwanzo nilikua nafuta app yao naidownload upya nikiona shipping ipo juu nafuta tena sahv inabidi nianze kuzoea tu
Mwlm rct atupe uzoefu huwa anafanyagaje hili la ughali wa shipping