Alibaba garama za usafirishaji zipo juu kuliko za mzigo

kokudo

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
2,571
Reaction score
1,760
Habari za majukumu Nimejaribu kupita Alibaba kuangalia namna ya kununua bidhaa kwa bei ya jumla

lakini cha kushangaza gharama za usafirishaji zipo juu kuliko gharama za kununulia mzigo

Kama kuna mzoefu aliewahi kununua mzigo nje na akasafirisha atusaidie
Screenshot_20191002-002428.png
 
Habari za majukumu Nimejaribu kupita Alibaba kuangalia namna ya kununua bidhaa kwa bei ya jumla

lakini cha kushangaza gharama za usafirishaji zipo juu kuliko gharama za kununulia mzigo

Kama kuna mzoefu aliewahi kununua mzigo nje na akasafirisha atusaidie View attachment 1221947
Yaani alibaba pako hivyo mm mwanzo nilikua nafuta app yao naidownload upya nikiona shipping ipo juu nafuta tena sahv inabidi nianze kuzoea tu
Mwlm rct atupe uzoefu huwa anafanyagaje hili la ughali wa shipping
 
Alisema hivi. Ukinunua mzigo uelekeze Silent ocean huko kwenye Godown lao la chika kisha wao ndio watatuma bongo for a chip price
Yaani alibaba pako hivyo mm mwanzo nilikua nafuta app yao naidownload upya nikiona shipping ipo juu nafuta tena sahv inabidi nianze kuzoea tu
Mwlm rct atupe uzoefu huwa anafanyagaje hili la ughali wa shipping
 
Yaani alibaba pako hivyo mm mwanzo nilikua nafuta app yao naidownload upya nikiona shipping ipo juu nafuta tena sahv inabidi nianze kuzoea tu
Mwlm rct atupe uzoefu huwa anafanyagaje hili la ughali wa shipping
Mwl rct Yuko wapi Jaman 😇
 
Back
Top Bottom