Alibaba ni matapeli au? Msaada please

Alibaba ni matapeli au? Msaada please

Vile vile mtafute mtu humu mwenye ID ya G12 wana kampun i kubwa sana na wana ofisi zao Kule Dar na karibia sehemu nyingi za China, wanaweza nunua na kukuletea hadi ulipo,
hv mkuu hawa watu malipo yao huwa inakuwaje?
 
natumia alibaba bila shida, ebay nilijaribu once nikatapeliwa ukawa ndio mwanzo na mwisho, China kuna bidhaa zenye quality nzuri tu ambazo hata ulaya zipo (na ni made in China) ila kwa bei ghali zaidi. Market prices za China ni za chini sana kulinganisha na nchi zilizoendelea

cha muhimu fanya research ya kutosha kabla hujafanya any transaction.
hv kuagiza naagizaje mi mwenyewe natamani kuwatumia ila mhh naogopa
 
mkuu uliagiza nini???

mkuu ... first time niliagiza electric motor 5.5kw ....13pcs ... second time ni mashine ya tofali kubwa, kikubwa zaidi ni kujaribu kuwa karibu kwa mawasiliano na supplier .... pia tumia delaying tactics kablaya kulipa ili kumsoma if the supplier is reliable ... kama unawasiwasi unapotumiwa bank details za supplier/beneficiary jaribu kuchunguza hiyo adress ya bank na aina ya bank acc.

wengi wa wachina wanapenda sana kutumia mawasiliano ya skype ... hapa mtafanya mazungumzo na kila kitu kwa uwazi ... kama ni tapeli utagundua mawasiliano yatakuwa ni dhaifu na majibu huwa ni mafupi mafupi

at the moment nina mzigo utaondoka any time soon kutoka china ... supplier tumeshakuwa big business partners wala hatuwakumbuki tena kama alibaba ndiyo walituunganisha

kwa uzoefu wangu mara zote nimewalipa suppliers directly by TT bila kutumia escrow/alipay
 
hv mkuu hawa watu malipo yao huwa inakuwaje?

Ni lazima Uwe na acount kule Alibaba na ukisha kubaliana na supply anaweza kukutumia proforma na baadae mkaandaa Mkataba ambao utapostiwa kule Alibaba na utahitajika kuusaini na kukubaliana na mashariti ya Mkataba theni ndo maswala mengine yataendelea,

Ukitumia Escrow ghalama zao ni dolla 25 na
 
mkuu nitakutafuta nikiwa tayari maana mambo haya bana inahitaji umakini sio kukurupuka
 
Mkuu mimi mwenyewe si Mwenyeji sana, ila hata ukiingia alibaba kuna maelezo ya Kutosha kabisa na kila kitu kina patikana humo, ok haina shida tunaweza peana uzoefu, make mimi ndo niko kwenye mchakato wa kuagiza Mashine
 
Nimeipitia thread hii kwa umakini sana, nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sitawashukuru wote walioweka michango yao ya mawazo, nimejifunza mengi. Asanteni sana Wakuu wote.
 
mkuu ... first time niliagiza electric motor 5.5kw ....13pcs ... second time ni mashine ya tofali kubwa, kikubwa zaidi ni kujaribu kuwa karibu kwa mawasiliano na supplier .... pia tumia delaying tactics kablaya kulipa ili kumsoma if the supplier is reliable ... kama unawasiwasi unapotumiwa bank details za supplier/beneficiary jaribu kuchunguza hiyo adress ya bank na aina ya bank acc.

wengi wa wachina wanapenda sana kutumia mawasiliano ya skype ... hapa mtafanya mazungumzo na kila kitu kwa uwazi ... kama ni tapeli utagundua mawasiliano yatakuwa ni dhaifu na majibu huwa ni mafupi mafupi

at the moment nina mzigo utaondoka any time soon kutoka china ... supplier tumeshakuwa big business partners wala hatuwakumbuki tena kama alibaba ndiyo walituunganisha

kwa uzoefu wangu mara zote nimewalipa suppliers directly by TT bila kutumia escrow/alipay

Tunashukuru mkuu kwa ushuhuda wako.Mimi ningependa kufahamu upande wa pili mzigo ukishafika hapa kwenye bandari ya kwetu.vipi hali ya urasimu wa utoaji wa lose cargo hasa kwa hao bandari na tra.Kodi wanachaji asilimia ngapi mkuu na gharama nyingine zikoje?asante
 
Mkuu ghalama za TRA ziko wazi na ni %, ishu iko kwa Agents njaa nyingi sana na usanii
 
Kweli mkuu agent wa kitanzania wanafanya ile kazi kama sio taaluma inayotakiwa kuheshimiwa.ila mkuu unajua asilimia ya kodi kwa mizigo kama hiyo au wanachaji 20% kama wanavyofanya kwenye bidhaa za ndani?
 
Mkuu pale kuna utitiri wa Chaji za kufa mtu, Ila kwa TRA nazani anazo kama Mbili hivi VAT na Import Duty na kuna ya 20% na 18% ila zingine ni za makampuni ya kuho Bandarini ni nyingi sana zinaweza fika 9
 
Asante mkuu ila hapo ndo kwenye ishu mana kama zipo kama 9,sasa bei ya kununulia inaweza ikalingana na kodi.kuna kuwa hakuta utofauti mkubwa wa kununua hapa na kuagiza nje
 
Niliwahi pigiwa mahesabu ya mashine fulani kwa kweli ilizidi mara Tatu bei ya kununulia, Ila kwa Vifaa vya kilimo na Mifugo visivyo kuwa na Kodi inakuwa na urahisi kidogo
 
Asante sana mkuu, hapo ndio mamlaka zetu zinapoturudisha nyuma mana kama kodi inaenda hadi mara tatu ni gharama kubwa kwa kweli.Wangekuwa wanachaji kodi hivyo kama nchini mwetu wanazalisha hizo bidhaa na zenye ubora ili kudiscourage importation na watu wanunue vya nyumbani.lakini nchi yetu yenyewe haina viwanda.
Shukrani mkuu
 
Wakubwa nimesoma post zenu zoooote wengine wengine wanaweweseka ilimradi kuchangia tujaribu kuwa makini huyu ndugu anataka msaada.Naomba niwajulishe wote mimi naifahamu vema alibaba na ni mnunuzi sana wa bidhaa online kupitia alibaba.Huku kwa alibaba kuna scammers wengi sana matapeli hata wewe unaweza kutengeneza profile yako kwa alibaba na watu wakanunua kwako ukawatapeli au ukawauzia safi kama unajua biashara ya online.Wengi wapo wa kweli na wengine ni matapeli.Pia unaweza kuwa unawasiliana na kiwanda moja kwa moja au watu wa kati.Sasa ukiona bidhaa ni sei chini sana wachana nayo hata ikiwa juu sana wacha sana tumia ESCROW.
Pia angalia jamaa unayemtumia pesa asikulazimishe utumie westernunion au njia nyingne ya jina lake lazima ulipe kwa jina la kampuni kwa kwa T/T au nja nyingine ila iwe account ya kampuni.

Habari wakuu,Kuna mashine nataka kuagiza through alibaba lakini nashangaa bei zipo chini sanaaa kulinganisha na market price! Naogopa nisije tapeliwa wenye uzoefu na alibaba msaada please.

mkuu usijaribu hata kidogo .... kamuni nyingi za china ni matapeli mkuu. jaribu ebay au amazon
 
alibaba is a trade portal .... wao ni kiunganishi na suppliers

frankly speaking nimeshaagiza vitu vingi sana kwa kupitia alibaba bila matatizo yeyote yale
Take care
sio kila siku Jpili
wapo wafanya biashara sio matepeli ndani ya Alibaba na wapo pia matapeli,lakini pia wapo wanaojiunga na Alibaba na hawana mashine ama product hata moja na kazi yao kubwa ni udalali.
cha msingi kabla ya kufanya maamuzi ni vyema kwanza kujiridhisha na huyo utakayefanya nae kazi kama si tapeli ama la,ama uelewe kama product hiyo si used ama haipo chini ya kiwango ama bei yake ni sawa na ile iliyosokoni,
kikawaida china bei inaendana na ubora wa kitu
 
Wakubwa nimesoma post zenu zoooote wengine wengine wanaweweseka ilimradi kuchangia tujaribu kuwa makini huyu ndugu anataka msaada.Naomba niwajulishe wote mimi naifahamu vema alibaba na ni mnunuzi sana wa bidhaa online kupitia alibaba.Huku kwa alibaba kuna scammers wengi sana matapeli hata wewe unaweza kutengeneza profile yako kwa alibaba na watu wakanunua kwako ukawatapeli au ukawauzia safi kama unajua biashara ya online.Wengi wapo wa kweli na wengine ni matapeli.Pia unaweza kuwa unawasiliana na kiwanda moja kwa moja au watu wa kati.Sasa ukiona bidhaa ni sei chini sana wachana nayo hata ikiwa juu sana wacha sana tumia ESCROW.
Pia angalia jamaa unayemtumia pesa asikulazimishe utumie westernunion au njia nyingne ya jina lake lazima ulipe kwa jina la kampuni kwa kwa T/T au nja nyingine ila iwe account ya kampuni.

anae wewe seka ni nani? kwa sababu unayo sema tiyali yameisha semwa humu sasa kigeni ni nini ulicho leta? Na kuhusu Western Union hata yenyewe si kwamba haina usalama kwa sababu hata ESCROW wana akaunti ya Western Union na T/T
 
mkuu usijaribu hata kidogo .... kamuni nyingi za china ni matapeli mkuu. jaribu ebay au amazon

Wanao nunua kupiti ahuko wao ni wajinga? Acha Ujinga mkuu wa kuogopesha watu, huku, utapeli uko kila mahala hata huko unako taja, kilichopo Alibaba ni watu kutofuata taratibu tu na makosa makubwa ni Mnunuzi kumaliza kila kitu na Supplier hapo ndo makosa huwa yanafanyika
 
Take care
sio kila siku Jpili
wapo wafanya biashara sio matepeli ndani ya Alibaba na wapo pia matapeli,lakini pia wapo wanaojiunga na Alibaba na hawana mashine ama product hata moja na kazi yao kubwa ni udalali.
cha msingi kabla ya kufanya maamuzi ni vyema kwanza kujiridhisha na huyo utakayefanya nae kazi kama si tapeli ama la,ama uelewe kama product hiyo si used ama haipo chini ya kiwango ama bei yake ni sawa na ile iliyosokoni,
kikawaida china bei inaendana na ubora wa kitu

Mkuu nazani Alipay wametoa condition zote na taratibu za Kufuata, Je Ulisha wahi kuzifuata na Ukaibiwa? Make kama Bidhaa haina Ubora unaweza kufungua madai na ukarudishiwa pesa yako,

Na makosa hufanyika kwa Mumunuzi kuwasilaina na supplier na kumlipa suplier pesa moja kwa moja kwenye personer acount yake, hapo ni lazima ile kwako,

INGAWA MKISHA KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA SUPLIER WAKO UNAWEZA MALIZANA NAE BILA HATA KUPITIA ESCROW kutokana na kwamba hata huko Escrow kuna process ndefu sana, na wako ambao huwasiliana na suplier na kumalizana nae bila tatizo, ila inatakiwa muwe mmesiha fanya biashara naye kwa muda mrefu
 
Back
Top Bottom