hv mkuu hawa watu malipo yao huwa inakuwaje?Vile vile mtafute mtu humu mwenye ID ya G12 wana kampun i kubwa sana na wana ofisi zao Kule Dar na karibia sehemu nyingi za China, wanaweza nunua na kukuletea hadi ulipo,
hv kuagiza naagizaje mi mwenyewe natamani kuwatumia ila mhh naogopanatumia alibaba bila shida, ebay nilijaribu once nikatapeliwa ukawa ndio mwanzo na mwisho, China kuna bidhaa zenye quality nzuri tu ambazo hata ulaya zipo (na ni made in China) ila kwa bei ghali zaidi. Market prices za China ni za chini sana kulinganisha na nchi zilizoendelea
cha muhimu fanya research ya kutosha kabla hujafanya any transaction.
mkuu uliagiza nini???
hv mkuu hawa watu malipo yao huwa inakuwaje?
mkuu nitakutafuta nikiwa tayari maana mambo haya bana inahitaji umakini sio kukurupukaNi lazima Uwe na acount kule Alibaba na ukisha kubaliana na supply anaweza kukutumia proforma na baadae mkaandaa Mkataba ambao utapostiwa kule Alibaba na utahitajika kuusaini na kukubaliana na mashariti ya Mkataba theni ndo maswala mengine yataendelea,
Ukitumia Escrow ghalama zao ni dolla 25 na
mkuu nitakutafuta nikiwa tayari maana mambo haya bana inahitaji umakini sio kukurupuka
mkuu ... first time niliagiza electric motor 5.5kw ....13pcs ... second time ni mashine ya tofali kubwa, kikubwa zaidi ni kujaribu kuwa karibu kwa mawasiliano na supplier .... pia tumia delaying tactics kablaya kulipa ili kumsoma if the supplier is reliable ... kama unawasiwasi unapotumiwa bank details za supplier/beneficiary jaribu kuchunguza hiyo adress ya bank na aina ya bank acc.
wengi wa wachina wanapenda sana kutumia mawasiliano ya skype ... hapa mtafanya mazungumzo na kila kitu kwa uwazi ... kama ni tapeli utagundua mawasiliano yatakuwa ni dhaifu na majibu huwa ni mafupi mafupi
at the moment nina mzigo utaondoka any time soon kutoka china ... supplier tumeshakuwa big business partners wala hatuwakumbuki tena kama alibaba ndiyo walituunganisha
kwa uzoefu wangu mara zote nimewalipa suppliers directly by TT bila kutumia escrow/alipay
Tunashukuru mkuu kwa ushuhuda wako.Mimi ningependa kufahamu upande wa pili mzigo ukishafika hapa kwenye bandari ya kwetu.vipi hali ya urasimu wa utoaji wa lose cargo hasa kwa hao bandari na tra.Kodi wanachaji asilimia ngapi mkuu na gharama nyingine zikoje?asante
Mkuu ghalama za TRA ziko wazi na ni %, ishu iko kwa Agents njaa nyingi sana na usanii
Mkuu pale kuna utitiri wa Chaji za kufa mtu, Ila kwa TRA nazani anazo kama Mbili hivi VAT na Import Duty na kuna ya 20% na 18% ila zingine ni za makampuni ya kuho Bandarini ni nyingi sana zinaweza fika 9
Niliwahi pigiwa mahesabu ya mashine fulani kwa kweli ilizidi mara Tatu bei ya kununulia, Ila kwa Vifaa vya kilimo na Mifugo visivyo kuwa na Kodi inakuwa na urahisi kidogo
Habari wakuu,Kuna mashine nataka kuagiza through alibaba lakini nashangaa bei zipo chini sanaaa kulinganisha na market price! Naogopa nisije tapeliwa wenye uzoefu na alibaba msaada please.
Take carealibaba is a trade portal .... wao ni kiunganishi na suppliers
frankly speaking nimeshaagiza vitu vingi sana kwa kupitia alibaba bila matatizo yeyote yale
Wakubwa nimesoma post zenu zoooote wengine wengine wanaweweseka ilimradi kuchangia tujaribu kuwa makini huyu ndugu anataka msaada.Naomba niwajulishe wote mimi naifahamu vema alibaba na ni mnunuzi sana wa bidhaa online kupitia alibaba.Huku kwa alibaba kuna scammers wengi sana matapeli hata wewe unaweza kutengeneza profile yako kwa alibaba na watu wakanunua kwako ukawatapeli au ukawauzia safi kama unajua biashara ya online.Wengi wapo wa kweli na wengine ni matapeli.Pia unaweza kuwa unawasiliana na kiwanda moja kwa moja au watu wa kati.Sasa ukiona bidhaa ni sei chini sana wachana nayo hata ikiwa juu sana wacha sana tumia ESCROW.
Pia angalia jamaa unayemtumia pesa asikulazimishe utumie westernunion au njia nyingne ya jina lake lazima ulipe kwa jina la kampuni kwa kwa T/T au nja nyingine ila iwe account ya kampuni.
mkuu usijaribu hata kidogo .... kamuni nyingi za china ni matapeli mkuu. jaribu ebay au amazon
Take care
sio kila siku Jpili
wapo wafanya biashara sio matepeli ndani ya Alibaba na wapo pia matapeli,lakini pia wapo wanaojiunga na Alibaba na hawana mashine ama product hata moja na kazi yao kubwa ni udalali.
cha msingi kabla ya kufanya maamuzi ni vyema kwanza kujiridhisha na huyo utakayefanya nae kazi kama si tapeli ama la,ama uelewe kama product hiyo si used ama haipo chini ya kiwango ama bei yake ni sawa na ile iliyosokoni,
kikawaida china bei inaendana na ubora wa kitu