Hapana kwa kweli kwani " Wema hauozi, ubaya hausahauliki na Mlipaji hafi"Sawa! Je ukipewa million 200 na mchepuko umpige bao moja_ sorry!
Utakubali?wakati mkeo akiwa chumbani amelala wewe sebuleni!
Ukisusa wenzio wala mkuuPotelea mbali nipo tayali kuacha nianze upya
Kweli inasikitisha sana,apumzike kwa amani popote pale alipo.Inasikitisha in smart 911 voice[emoji23] [emoji23]
Usijali bahati nzuri nimesoma uchumi walau kwa uchache najua terminology ya opportunity costUkisusa wenzio wala mkuu
Nimekuelewa vizuri kabisa MkuuNaam, swali zuri[emoji4] [emoji4] kuna kipindi nilikuwa nasoma, fani niliyokuwa nasomea ndio ilinilazimu kufanya utafiti, kwahiyo katika utafiti nilokuwa nafanya ilinilazimu nitumie njia mbali mbali kwa lengo la kupata taarifa sahihi. Baada ya kumaliza, nilifuta mpaka account. Sikuwa lengo baya nao.
Mzee umesoma madrasa sana sio kwa mwandiko huu ingawa bado siamini kama utaipotezea hiyo hela maana TV ngapi itakubidi kutengeneza kukusanya huo mkwanja!Hapana kwa kweli kwani " Wema hauozi, ubaya hausahauliki na Mlipaji hafi"
Vile vile bahati nzuri sina tamaa ya fedha na naridhika na ninachokipata. Mwaka 2005, nakumbuka baada ya kumaliza shule, bi Mkubwa wangu siku moja aliingia chumbani mwangu bila mimi kujua na kuweka kwenye kabati langu la nguo begi dogo jeusi, lililokuwa na nembo iliyosomeka "Sport" mimi nilipoliona sikuwa na wasiwasi kuwa labda kuna kitu kibaya (silaha au mali ya wizi) imefichwa chumbani mwangu. Chumbani mwangu nilikuwa naingia na marafiki zangu ambao nao ni waaminifu. Hakuna hata rafiki yangu mmoja aliewahi kupekua.Sawa! Je ukipewa million 200 na mchepuko umpige bao moja_ sorry!
Utakubali?wakati mkeo akiwa chumbani amelala wewe sebuleni!
Poleee ana nyota si haba [emoji251][emoji251][emoji251]Sijapoa aise sasa kila mwanamke anamshobokea jamaa inakuwa kama sisi wengine hatuna mashine
Hii nini sasa (ila nina wivu balaa) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni yule yule ama mwingine[emoji38][emoji38][emoji38]Ondoa shaka, ngoja nimuombe muhusika.
UsjaliAisee.
Basi haina shida, ila uuweke hata ukikaa kwa dk 5 tutakuwa tumeuona
Mzee umesoma madrasa sana sio kwa mwandiko huu ingawa bado siamini kama utaipotezea hiyo hela maana TV ngapi itakubidi kutengeneza kukusanya huo mkwanja!
Tunaendelea una dada zako nyumbani!?
Je uliwasaidia vipi kufikia hapo kama wameolewa kimalezi na kifedha!
Akitaja id niite sawa[emoji106] [emoji106]
Sana wanabanaDuh!!! Mods wanatubania pole mrembo
Nikupumzika tu mkuu[emoji23] [emoji23] usiogopeApumzike kwa amani mkuu!!? Ukakasi
Hukuwahi kuwa na wivu na shemeji zako wakati wanawafukuzia dadazo!ahahahNi kweli nilisoma sana madrasa
المدرست المعمور
Wadada ninao lakini bahati nzuri wao ni wakubwa kwangu, hivyo wao ndio walinilea, na bahati nzuri wote walikwisha olewa.
Kufanya mambo kuzidi uwezo au kipato na vile vile kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja tena yanayokinzana yanarudisha nyuma. Mfano mzuri mtu unakuta yupo kwenye kutafuta lakini bado anaendekeza na starehe, hapo kwa akili yake anaona sawa lakini kwasisi twenye mtazamo tofauti hayuko sawa.Mkuu alibakari unafikiri ni mambo gani makuu ambayo yanafanya vijana (hasa wakitanzia) wasiweze kujikwamua kimaisha.