Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Hakuna neno kama umeniruhusu hakuna shaka.

Ulianza lini kuwa mshabiki na mazingira gani yalichangia kuwa shabiki huyo
Unajua mi nimebaleghe nikiwa na umri wa miaka 13 kuelekea 14, mazingira yaliyochangia ni pamoja na vikundi, lishe pamoja na upweke, upweke huu ni kwa vijana wa kiume wale wanaokaa vyumba vya peke yao
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inawezekana mkuu, ni sawa na mshabiki wa mpira wa miguu kuweza kukariri majina ya timu pamoja na wachezaji wa timu mbalimbali kuanzia vilabu hadi timu za taifa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilikuwa mshabiki wa ule mchezo ndio maana nikawa nawajua.
Naombeni link ya uzi nikasome nije na maswali
Kuna uzi humu MMU nilipita nikaona umeweza kuorodhesha mastaa wengi sana wa movie za aina fulani.
Umewezaje kukariri majina yote yale mkuu?
 
Bado ni shabiki?? na hebu tupe kisa kimoja(mkasa) ulikutana kipindi ulivyo kuwa shabiki.?

Umeshawahi kuangalia American pie? kama umeshawahi kuangalia utajua nini nilichomaanisha.

Siku moja wakati nikiwa chumbani usiku wakati naangalia, nilisahau kufunga mlango {nilikuwa naunganisha earphone toka ilipo tv hadi kitandani ili kupata sauti}. Sasa kwa bahati mbaya nikiwa nimekolea kucheki si bi mkubwa akaingia chumbani![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unaambiwa niliruka kama wale wachezaji wa mchezo wa high jump[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] hadi kwenye socket na kuzima kila kitu. Then nilikuwa namcheki Mandingo, nahisi bi mkubwa angeona ile angezimia kwa presha[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom