Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
abroad ya wapi...Nipo abroad mkuu nimechanganya files
Kasema ni USA sasa sijui ni ile ya USAMBARA kakatisha jina[emoji23][emoji23][emoji23]abroad ya wapi...
Hahah hata huku Chugga kuna USAKasema ni USA sasa sijui ni ile ya USAMBARA kakatisha jina[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante ahsante[emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] mpenzi nnae JFKaribu sana alibakari kwanza una mpenzi humu jf?
Samahani, rudia hili swali kwa kiswahili, bahati mbaya mi english sijui[emoji120] [emoji120]Umenufaika vipi kiuhalisia materialism mfano vitu tangible kabisa
Labda kwa baadae, ikiwa mambo yangu yatakuwa mazuriAisee interesting! Una mipango nae ya baadae mfano ndoa!