Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisiongea sana hapo! Alibakari ni mtu Wa aina gani umri,elimu,kazi na muonekano!tupia picha ikiwezekanaInawezekana kukaa na mwanamke bila ngono endapo tu utakuwa unajishughulisha na mambo yako bila kuupa muda ubongo kujenga dhana ya kutumia viungo vya uzazi au kuudhibiti uwezo wako wa kufikiri juu ya mawazo ya ngono. Inawezekana ikawa ana mtu anaempa ngono lakini hawa viumbe sio wa kuwafatilia sana, unaweza ukapata presha na kukatisha uhai wako bure
Alibakari, ni kijana wa miaka 31, mcheshi mpole, mkarimu na asiyependa ugomvi/vurugu. Elimu yangu sitopenda kuiweka wazi, lakini nilianzia na ngazi ya cheti VETA - mwaka 2006, kwahivi sasa ni fundi wa vifaa vya electronics.Nisiongea sana hapo! Alibakari ni mtu Wa aina gani umri,elimu,kazi na muonekano!tupia picha ikiwezekana
Nini ni udhaifu wako mkubwa na Nini ni ujasiri wako,kwa vipi inakuangusha ama inakusaidia katika maisha!?Alibakari, ni kijana wa miaka 31, mcheshi mpole, mkarimu na asiyependa ugomvi/vurugu. Elimu yangu sitopenda kuiweka wazi, lakini nilianzia na ngazi ya cheti VETA - mwaka 2006, kwahivi sasa ni fundi wa vifaa vya electronics.
Muonekano wangu ni kijana (mulato - maji ya kunde) mwenye urefu wa kufikia 5½ - 6ft mwili wa mazoezi.
Udhaifu wangu ni yale yote ambayo ni mapungufu ya kibinadamu na ujasiri wangu ni kwamba huwa sipendi kuona mwanadamu hususan Mtanzania mwenzangu akionewa huku nashuhudia kwa macho yangu, hapo huwa najitahidi ili haki itendeke na vile vile, kukutana na mtu mwenye kuhitaji wakati mi nnacho hapo huwa najitahidi muda mwingine inafikia kujinyima ili nimpatie. Yote hayo ni kwa ajili ya kutumaini ujira kutoka kwa MuumbaNini ni udhaifu wako mkubwa na Nini ni ujasiri wako,kwa vipi inakuangusha ama inakusaidia katika maisha!?
Hapana itakuwa ni USA RiverKasema ni USA sasa sijui ni ile ya USAMBARA kakatisha jina[emoji23][emoji23][emoji23]
utaratibu ukojeInaendelea sasa
Umeona eeh[emoji23][emoji23]Hapana itakuwa ni USA River
Hongera mkuu unaswali swala 5 bila shaka!Udhaifu wangu ni yale yote ambayo ni mapungufu ya kibinadamu na ujasiri wangu ni kwamba huwa sipendi kuona mwanadamu hususan Mtanzania mwenzangu akionewa huku nashuhudia kwa macho yangu, hapo huwa najitahidi ili haki itendeke na vile vile, kukutana na mtu mwenye kuhitaji wakati mi nnacho hapo huwa najitahidi muda mwingine inafikia kujinyima ili nimpatie. Yote hayo ni kwa ajili ya kutumaini ujira kutoka kwa Muumba
Udikteta huu sasaUnamuuliza tu swali usinisubiri nimalize
shem eeeUmeona eeh[emoji23][emoji23]