Alibakari live interview on DJ sepetu show!!

Inawezekana kukaa na mwanamke bila ngono endapo tu utakuwa unajishughulisha na mambo yako bila kuupa muda ubongo kujenga dhana ya kutumia viungo vya uzazi au kuudhibiti uwezo wako wa kufikiri juu ya mawazo ya ngono. Inawezekana ikawa ana mtu anaempa ngono lakini hawa viumbe sio wa kuwafatilia sana, unaweza ukapata presha na kukatisha uhai wako bure
 
Nisiongea sana hapo! Alibakari ni mtu Wa aina gani umri,elimu,kazi na muonekano!tupia picha ikiwezekana
 
Alibakari, ni kijana wa miaka 31, mcheshi mpole, mkarimu na asiyependa ugomvi/vurugu. Elimu yangu sitopenda kuiweka wazi, lakini nilianzia na ngazi ya cheti VETA - mwaka 2006, kwahivi sasa ni fundi wa vifaa vya electronics.
Muonekano wangu ni kijana (mulato - maji ya kunde) mwenye urefu wa kufikia 5½ - 6ft mwili wa mazoezi.
 
Nini ni udhaifu wako mkubwa na Nini ni ujasiri wako,kwa vipi inakuangusha ama inakusaidia katika maisha!?
 
Udhaifu wangu ni yale yote ambayo ni mapungufu ya kibinadamu na ujasiri wangu ni kwamba huwa sipendi kuona mwanadamu hususan Mtanzania mwenzangu akionewa huku nashuhudia kwa macho yangu, hapo huwa najitahidi ili haki itendeke na vile vile, kukutana na mtu mwenye kuhitaji wakati mi nnacho hapo huwa najitahidi muda mwingine inafikia kujinyima ili nimpatie. Yote hayo ni kwa ajili ya kutumaini ujira kutoka kwa Muumba
 
Hongera mkuu unaswali swala 5 bila shaka!
Umeweza kukamilisha mafanikio ya kimali au kifedha kwa kiasi gani Upo financially free?
 
Back
Top Bottom