Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Miss you too naona upo ofisini, kazi kazi nasubiri nyama chomaNimekumisi mpenzi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss you too naona upo ofisini, kazi kazi nasubiri nyama chomaNimekumisi mpenzi wangu
TV iliharibika au aliiharibu hahaha!Sikatai kuhusu hilo kwani ilishawahi kunitokea mwaka 2008, kuna mdada tv yake iliharibika then akanitafuta usiku wa saa 6, kweli nilifika kwake na kuicheki lakini mazingira niloyakuta ilibidi nijikaze kiume na kwa vile natambua nipo kwenye kutafuta ikanibidi nisimamie maamuzi yangu. Nilimuomba samahani kisha nikamwambia muda huu sifanyi kazi.
Ukijua unachokitafuta tilia mkazo na zingatia unachokitafuta
anhaa sawa nafurahi kusikia upo fresh....Nipo shem
Usisahau na parachichi ya kujaza ......Naleta paja la mbuzi andaa limao za kutosha na kachumbari ya kizanzibar!
Iliharibika kweli.TV iliharibika au aliiharibu hahaha!
Mkuu au demu hakuwa na mvuto!
Wenzio huwahawaachi cha bure!
Okay 31 huoni kuwa umechelewa kuoa!?
Huna mpenzi real je unafanya masturbation aka punyeto Mara ngapi kwa wiki?
Huyu kapeace inaonekana ni mdada mkaliiiiii eeeUsisahau na parachichi ya kujaza ......
Mkuu huwa tunakula kwanza halafu misimamo baadae[emoji23] [emoji23]Iliharibika kweli.
Huyo binti alikuwa ni mzuri shombe shombe hivi, halafu alikuwa anaishi peke yake na hakuwa na bwana, then amejaa zile neema[emoji38] [emoji23] lakini ilibidi nisimamie maslahi yangu. Vizuri ni kwamba ukijua unachokitafuta hupati shida.
Hao mafundi wengine wanaotumia hizo kama fursa kikawaida huwa kipato chao hakizidi na badala yake kinapungua.
Mimi kwasasa ni baba wa familia, nina mke na watoto wawili.TV iliharibika au aliiharibu hahaha!
Mkuu au demu hakuwa na mvuto!
Wenzio huwahawaachi cha bure!
Okay 31 huoni kuwa umechelewa kuoa!?
Huna mpenzi real je unafanya masturbation aka punyeto Mara ngapi kwa wiki?
Hebu uliza maswali maana nishakuhamisha naona[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaha maaaji siwezi acha Leo nimeyamic najua utanimwagia ya kutosha kule!
Hakuna mpya kuleanhaa sawa nafurahi kusikia upo fresh....
Stress free zone wanasemaje...jipya??
Unapokuwa kwenye kutafuta dumu kwenye kile ukitafutacho, ana shida ya kifaa chake mtatulie na wewe upate maslahi yako, ukienda kinyume na hivyo mwisho wa siku ujue tu unakosa malipo yako na kuanzia hapo wewe ndio unakuwa mtu wa kumtimizia yeye mahitaji yake.Mkuu huwa tunakula kwanza halafu misimamo baadae[emoji23] [emoji23]
Utasimulia nn ukizeeka!
Jibu part two ya swali hilo
Washawahi wadau long long time agoHuyu kapeace inaonekana ni mdada mkaliiiiii eee
Natamani kuweka dau mezani bahati mbaya sijui kama ana tabia za miss chagga
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli lakini najikaza kiume, nategemea siku mafanikio/kipato kikiongezekaa nami ndio nitaongeza tukijaaliwaMke Wa 2 3 4 vipi maana Neema za Allah mkuu kila siku ingizo jipya!
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Aisee interesting! Una mipango nae ya baadae mfano ndoa!
Hili tango pori vipiiiii!???Labda kwa baadae, ikiwa mambo yangu yatakuwa mazuri
Mimi kwasasa ni baba wa familia, nina mke na watoto wawili.
[emoji119] [emoji119] [emoji119] nimeachaKweli maana hali huku down inaanza umuka![emoji23] [emoji23]