Kwanza tukubaliane huyo si baba'ke ni bwana wa mama'ke. Inaweza kuwa alikuwa mtoto na ashki zake ndio zikamtuma aliwe nae, la kubakwa haliingii akilini. Wewe, mimi ni mtu mzima na haya mambo nnayokwambia yazingatie. Huyo hajabakwa, alimfungulia mwenyewe kwa raha zake. Na huyo si baba'ke. Kwa hiyo usitake ku dramatize kuwa ni baba'ke unapoteza umma na unajiwekea vizingiti kichwani visivyo kuwepo.Mwambie akuambie ukweli, kijana bado u mdogo na hujui hila za wanawake. Kuna kisa kimoja :Kuna mke wa mtu kijana aliliwa na mtu. mumewe akahisi kitu, akmwambia mkewe apa kwa mungu kuwa hujafanya dhambi ya kuliwa, akampa muda wa kufikiri siku tatu. Yule mwanamke akaenda kwa mamake mzazi akiwa mnyonge, mama'ke kumuona mwanae mnyonge akamuuliza vipi binti yangu una nini, ikabidi amueleze mama'ke ukweli, kuwa aliliwa lakini inabidi aape. Mama akamwambia mbona hayo madogo tu, nani aliokula? akamueleza. Mama akamwambia sasa nataka siku ya kuapa mwambie mumeo aje kukuapishia hapa kwangu na mimi ntahakikisha yule aliokula namuweka pale nje kwenye kona, yule aliokula awe hapo na mpite hapo na mumeo na wewe vaa gauni lako lakini ndani usivae chupi wala gaguro, na ukifika hapo jiangushe na uhakikishe katika kuanguka kwako nguo inaruka mpaka unakuwa uchi na yule aliokula anakuona mpaka nanihii yako na mumeo anashuhudia yote hayo. Na ikifika wakati wa kuapa wewe apa kuwa "Naapa kuwa toka kuzaliwa hakuna mwanamme aliyeniona nanihii yangu isipokuwa wewe na yule pale nilipoanguka tu. Basi wakafanya hivyo, na ikawa ameapa ukweli kuwa hakuna alioona nanihii yake isipokuwa wao tuu. Mume karidhika mambo swaaafi.Hizo ndio mbinu na hila za wanawake, akwambie kweli tu.