Sir.Alex Ferguson ameitisha maandamano makubwa ya dunia nzima kwa mashabiki wa Man United kwa kupinga matokeo ya uefa dhidi ya Real Madrid The Galacticos yatakayofanyika kuanzia Mtwara Hadi Kigoma....Jiandaeni kwa kuvaa Jezi na skafu...kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiiiiiii