Alichoandika Masanja Mkandamizaji kuhusu Diamond na Wema

Alichoandika Masanja Mkandamizaji kuhusu Diamond na Wema

fungi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
2,539
Reaction score
4,672
WEMA2.jpg
 
kumbe nae pastor mtarajiwa (sijui kama kaqualify tayari) ndo mambo yake haya???
 
Kwani diamond na wema wamefanyana nini??
 
Kwa maana nyingine mchungaji Masanja anataka Wema abaki home ili Domo akirudi toka kwenye show atundike mimba ambayo haitazaa popompo kwa kuwa mwili wa wema utakuwa umepoa. Kwa hiyo anahamasisha mimba ya uchumba kabla ya ndoa. Aaah pastor, kweli huyu ni pastor mkandamizaji.
 
Hhhhaaaaaaaaaa masanja kanichekeshaaaa sasa hiv ntasikia dai ana mtoto mwinginee nrachekajeeeeeeeee Wema komaaaaaaaajeee
 
huyu masanja yeye ndo angeanza kuoa kwanza ye ni mkubwa kwa diamond..

Masanja mkubwa kuliko kaka yake diomond.kizee kile kishukuru makelele yake kwenye comedy sijui angekua mgeni wa nani
 
msela anampenda sana wema ila historia ya umal*ya na ma skendo ya huyo demu ndio probleme...kama vp waoane kimya kimya kama anaona soo kuoa biatch..
 
free mason wa siku hizi masharti hakuna kuoa
 
Daaah na kweli huyo street pastor....angekuwa pasta wa church ningejipa muda wa kushangaa kwa hayo aliyoandika
 
Back
Top Bottom