Alichoandika mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa kuhusu Afya ya Ruge Mutahaba

Alichoandika mkurugenzi wa Mawasiliano IKULU Gerson Msigwa kuhusu Afya ya Ruge Mutahaba

Get well soon Ruge Mutahaba regardless ya Mapungufu ya kibanadamu wewe ni mtu Poa sana
 
Apone kwasabb sio car akiwa mgonjwa. Lkn hii iwe funzo kwake kwamba ipo nguvu zaidi ya nguvu zake za fedha ama watu. Hivyo aww mtu wa kutenda haki na sio kuonea wanyonge
Mwanamke acha roho mbaya ,jifunze kukaa na vitu moyoni
Ni kwafaida yako
 
Sa hiyo ndio typical sample halisi ya Watanzania!
Unafki!
Wakati tukijua Jumamosi Uganda anacheza na Cape Verde! Kwa unafki wetu tukaomba Mungu eti Uganda amfunge Cape Verde pale Kampala! Ikawa kweli! Cape Verse akafa kimoja! Roho mbaya ni mbaya! Lesotho akatukojolea kimoja! Aibu yetu! March 2019 Tanzania v Uganda! Na Cape Verde v Lesotho! Matanzania tena yanaiombea Cape Verde imfunge Lesotho! Poor us! Unafki tu
Nilifundishwa na mwalimu wangu kuwa mtu mnafiki usimuamini hata siku moja hata kama anakuambia ukweli! Lissu wamempiga risasi wanakesha na kuomba afe lkn wanamuomba Mungu huyo huyo amponye Ruge, maombi haya ni feki hayatapokelewa! Mungu wetu hayuko double standard!
 
Jakaya kikwete wana deal na hayo makitu!
Sasa huko sauzi ni kuwashwawashwa na hela tu.

Sio pesa tu. Taarifa za mgonjwa ni siri. Sina uhakika sana na uadilifu wa ma dr wetu hapa bongo.
 
Apone kwasabb sio car akiwa mgonjwa. Lkn hii iwe funzo kwake kwamba ipo nguvu zaidi ya nguvu zake za fedha ama watu. Hivyo aww mtu wa kutenda haki na sio kuonea wanyonge
alimuonea nani jamani tujue na sisi
 
It is funny...how a human beings can force God to change his mind for some random human being who is sick!

Maajabu kweli!

Kusali/kuomba/maombi ni kupoteza muda....!

Wakristo are the most confused people to ever appear on earth!.....Anasema mungu keshapanga kila kitu tangu kuumbwa kwa dunia,then he turns around and beg him to change his mind on something for his own selfish reason!

Human beings are dangerous creatures me included!
Our life is pre-determined from conception if not from spermatogenesis and oogenesis! Then a bishop like pengo tells you that let us pray so god can do that and that! Rubbish! Tunageuzwa as if we can not make sense out of these rubbish religious, lies teachings!
 
Muulize msigwa kwa nini walimpiga Lisu risasi na Mungu wanamwambia nini katika hilo?
 
Sitasahau mchango wako katika semina ya fursa 2017 Mwanza pale rock city mall #FURSA2017 ANZIA SOKONI.

Get well soon
 
Hahaha kunavijana wadogo sana makini wapo humu!
Binafsi nimejiunga jf mwanzoni 2016 nikiwa 18
Born 1985
Screenshot_2018-11-26-16-20-23.jpeg
 
Back
Top Bottom