Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda

Wapambe wa Kikwete walisema ahmed salim sio mtanzania kitu ambacho ni uongo ila walisema vile kwa sababu wote
Hio hoja haifanani na hii ya akina Ntobi ingekuwa hivi... kama Ahmed Salim angepitishwa kugombania Uraisi wa Jamhuri halafu baadae mje mseme alikuwa sio raia na tulimpitisha huku tukijua FIKA kuwa Salim sio raia hapo ndipo hoja iliposhika

Sijui kama umenipata...?
 
Mkuu, huyu angekuwa vingine, leo hange kuwa mwanachama wa hicho chama.
 
Ntobi ni muhuni tu
 
Hatimaye wamemnyoa! Ntobi hastahili hata kuwa mjumbe wa VICOBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…