Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Ntobi ndio nani?Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .
Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,
Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.
Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA ya mwaka 2006 kosa alilolifanya BW. Emmanuel Ntobi adhabu yake ni kufutwa Uongozi au Kufukuzwa Uanachama au vyote kwa pamoja,
Hata hivyo aliyekuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini Bw Godbless Lemma amesisitiza pia hatua zinapashwa kuchukuliwa ili kuepa visasi na majibizano ya kukidhalilisha chama na wanachma
View attachment 3180661
View attachment 3180647
View attachment 3180816
Tofautisha kebehi na kuongea matamko yanayotoka ni ya kebehi na dharauNdo maana kuna kipindi cha kampeni waache watu waongee ndo mda wao
Kampeni ni pamoja na kebehi, dharau sasa unataka kwenye kampeni watu msifiane tenaTofautisha kebehi na kuongea matamko yanayotoka ni ya kebehi na dharau
Mbona nyie wavimba macho huwa mnatukana viongozi kwa kusingizia demokrasia?Kaguswa mtu wenu mnalalama?Tena hajatukanwa kaambiwa hawezi kuongoza hata mtaa.Hivi watu wanajua matusi au ni mahaba tu..mtu kusema jamaa hawezi kuwa kiongozi hata wa mtaa ni tusi??? Mbona Mama Samia watu wanasema zaidi ya hayo, mkiulizwa mnasema ndo demokrasia hiyo, lkn kwa Lissu mtu anasemwa anatukanwa.
Kuwa kiongozi mkubwa sio lele mama..lazima mawe yalushwe tu
Wewe unamsahihisha mtu?Udharilishaji ni kiswahili?Tofautisha maoni na udharilishaji.
Hakuna kosa kosa la Ntobi na wenzake ni kwamba wametukosea sisi Wapigakura tuliompigia Lissu.Kwani ni kosa lisu kupingwa
Hata wewe una upande ndio maana umepandwa na jazba mgombea wako kukandwa.Naunga mkono hoja.Unakua kiongozi wa chama alafu unachagua upande kimihemko tena mitandaoni.
Mbowe ametukanwa na kiongozi Gani wa chadema? Kile kilichofanyika na ntobi na yeriko ni vijembe na kejeli dhidi ya makamu wa chadema.Sijui nidhamu ikoje huko chademayani ni halali kumtukana na kumkashifu Mbowe, lakini ukimsema vibaya Lissu unakauwa ni mtu mmbaya.
Hakuna kuna mtu aliyekuaikilia akili kila mtu anamtazamo wakeHakuna kosa kosa la Ntobi ni kwamba katukosea sisi Wapigakura tuliompigia Lissu.
Hakuna kosa lolote alilofanya ntobi na yericoMbowe ametukanwa na kiongozi Gani wa chadema? Kile kilichofanyika na ntobi na yeriko ni vijembe na kejeli dhidi ya makamu wa chadema.Sijui nidhamu ikoje huko chadema
Mbowe ametukanwa na kiongozi Gani wa chadema? Kile kilichofanyika na ntobi na yeriko ni vijembe na kejeli dhidi ya makamu wa chadema.Sijui nidhamu ikoje huko chadema
Pitia hapo juu yamewekwa mkuuIli kubalansi mambo, wekeni hapa hayo matusi ya huyo boya Ntobi ili tuone kama ni matusi kweli au ni mihemko tu ya kawaida.
Kusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilituwekea Mtu Bosheni agombee Uraisi kwasababu anauwezo wa Kuropoka sasa ni kutukosea sana sisi Wananchi wa Tanzania ambao ndio Wapigakura.Hakuna kuna mtu aliyekuaikilia akili kila mtu anamtazamo wake
Kusema makam mwenyekiti tulimuweka Ili kubishana na jpm ila hawezi hata kuwa kiongozi wa mtaa unaona sio tusi kwa lisuu?? Halafu pia sio tusi kwa lissu ila ni tusi kwa chama choteHakuna kosa lolote alilofanya ntobi na yerico
Kwenye siasa usipende kuchukulia kila kitu serious hasa kipindi cha kampeniKusema kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilituwekea Mtu Bosheni agombee Uraisi kwasababu anauwezo wa Kuropoka sasa ni kutukosea sana sisi Wananchi wa Tanzania ambao ndio Wapigakura.
Kingesemwa na kapuku sawa kinasemwa na Kiongozi kwanini nisikichukulie Serious?!Kwenye siasa usipende kuchukulia kila kitu serious hasa kipindi cha kampeni
Sio tusi hiyo ndo siasa kuna mtu aloyetukanwa kama mbowe angekua anachukulia vitu personal angeumia sanaKusema makam mwenyekiti tulimuweka Ili kubishana na jpm ila hawezi hata kuwa kiongozi wa mtaa unaona sio tusi kwa lisuu?? Halafu pia sio tusi kwa lissu ila ni tusi kwa chama chote
Wapambe wa Kikwete walisema ahmed salim sio mtanzania kitu ambacho ni uongo ila walisema vile kwa sababu wote walikuwa kwenye mtanange wa kugombea tiketi ya urais ndani ya ccmKingesemwa na kapuku sawa kinasemwa na Kiongozi kwanini nisikichukulie Serious?!