Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda

Alichoandika Mnyika: Maneno ya Ntobi si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda

Uchaguzi wowote lazima uwe na upande.ila ukiwa kiongozi kuna namna yakupeleka hisia zako bila kuathiri au kutweza upande mwingine ili baada ya uchaguzi maisha yaendelee.sasa yeye alichokifanya nikumtweza lissu tena mtandaoni na ambaye nikiongozi wake chamani.Hiyo sio sawa kwamtu anayejielewa.
Kumtweza lisu sio kosa ni haki yake ya kuongea sasa ulitaka akae kimya ilihali anahaki ya kutoa maoni yake
ni vile watanzania bado hawajui nini maana ya demokrasia
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huyo mpuuzi Ntobi uchawa wake umepitiliza hadi anakidhslilisha chama,anaposema Lissu alipitishwa kugombea urais kwa sifa yake ya uropokaji ili akamropokee Magufuli ni kuonyesha kuwa Chadema haina nia dhabiti ya kushika dola ila nia yao ni kumropokea mgombea wa CCM tu, hili ni tusi kubwa Chadema.
Lema atoa maoni 👇👇👇
 
Attachments

  • FB_IMG_1734674159600.jpg
    FB_IMG_1734674159600.jpg
    76 KB · Views: 1
kwa mfano: Mbowe akisema hatogombea, wao watafanyaje. Bila shaka watateseka sana. In some situations, neutrality is a better choice!
Kwa haya wanayoropoka hadharani watamlazimisha
Mbowe agombee hata kama yy mwenyewe ataamua kupumzika.
Maana salama yao ni Mbowe siyo vinginevyo.
Kwao wao Mbowe kwanza chama baadaye.
 
Huyo mpuuzi Ntobi uchawa wake umepitiliza hadi anakidhslilisha chama,anaposema Lissu alipitishwa kugombea urais kwa sifa yake ya uropokaji ili akamropokee Magufuli ni kuonyesha kuwa Chadema haina nia dhabiti ya kushika dola ila nia yao ni kumropokea mgombea wa CCM tu, hili ni tusi kubwa Chadema.
Hayo ni mawazo yake.sio kila kinachozungumzwa na mjinga aliyepo chadema ni taarifa rasmi ya chama japo alichokiandika ni ujinga.Kuna watu wanashindwa kudhibiti mihemko yao au wanajiaminisha ujinga bila kutafakari ya kesho yatakuaje.
 
Huyo Ntobi hafai kuwa kiongozi, yeye achague upande bila kutukana wenzake. Ili uchaguzi utakapoisha uishe bila kuacha matabaka.
 
Huyo Ntobi hafai kuwa kiongozi, yeye achague upande bila kutukana wenzake. Ili uchaguzi utakapoisha uishe bila kuacha matabaka.
anachagua upande wa FAM ili ajue ni mpiganaji wake hana tofauti na waimba mapambio wa mama
 
Hata wale kina Nyerere, boni, kilewo, ni washamba. kuna steji za kiuongozi ukifika hutakiwi kuwa emotional kiasi kile. Sio busara kuonesha hisia za uchawa kwenye hali kama ya sasa cdm. Kiongozi lazima uoneshe ukomavu flani wa kuweza kutulia kwanza ukisubiri lolote lijalo.

kwa mfano: Mbowe akisema hatogombea, wao watafanyaje. Bila shaka watateseka sana. In some situations, neutrality is a better choice!

YESU NI BWANA&MWOKOZI
Nimempenda bure Malisa G, pamoja na umaarufu wake mitandaoni na kwenye chama aliamua kujizuia kutegemea upande wowote
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi licha ya kutojibiwa chochote na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu kwa muda mrefu Sasa bado ameendelea na kumdhihaki, kumdhalilisha na kumtweza utu wake kinyume kabisa na Katiba, kanuni na miongozo ndani ya CHADEMA .

Katibu Mkuu wa CHADEMA Bw.John John Mnyika alipoulizwa na Wanachama wa CHADEMA mitandaoni kama anachokifanya Mwenyekiti wa Shinyanga kama ni msimamo wa Kamati kuu au CHADEMA,

Kwa haraka Katibu Mkuu huyo alimjibu Mwanachama huyo kuwa huo si msimamo wa Kamati kuu Wala CHADEMA na mamlaka ya nidhamu ya Mwenyekiti huyo yako chini ya Kanda na anamshangaa kwanini Emmanuel Ntobi anaendelea kutamba kwa kutweza wengine utu wao hadharani tena mitandaoni Waziwazi bila kuchukuliwa hatua zozote za kinidhamu.

View attachment 3180661
View attachment 3180647
R

R.I.P chadema.
 
Lissu ni hazina, akiwa rais wa nchi Tz itabadilika kuwa Canada!

Hii nchi ina mipango mizuri iliyowekwa Tangu serikali ya Mkoloni Mjerumani .

Tatizo kubwa tukikosa Kiongozi wa nchi mwenye ujuzi wa kusimamia Sheria ,katiba na miongozo yake pamoja na sheria za Kimataifa tukajikuta tunaruhusu wezi kuja kwa ngozi ya uwekezaji na kusaini mikataba ya kimangungo . Nyerere alijua wazi kuwa hakuwa mtaalam wa sheria na katiba ndio maana aliacha kusaini mikataba mingi ya ardhi na madini .

Leo tuna bahati kubwa sana kwa mara ya kwanza Afrika kumpata Mtu kama Tundu Lisu anayezijua sheria za nchi na za kimataifa kwa kiwango cha juu sana .
Na sio tu ni wakili bali ni Mtu mwenye kipaji maalumu cha sheria yaani ni Genus wa sheria kama alivyo Messi Kwenye mpira .

Huyu CHADEMA wakichezea watakua wamepotea kwa kiwango cha kupotea kabisa .

Hao akina Ntobi hawana maono ya kiroho ndio maana hawajui hata makusudi na mipango ya Mungu kuwainua wapigania haki nyakati zote katikati ya wafalme na watawala wenye nguvu tangu zama za ulimwengu wa Giza. Hata wakati wa biashara za waarabu kuuza watumwa bado palikua na waafrika waliokua wabishi na waliopinga ndugu zao kuuzwa na kusafrishwa kama maparachchi kwenda wasikokujua .
Katika hao hao babu zetu waafrika wapo walioungana na Waarabu kwa woga na kushiriki kuuza ndugu zao na kuwaona wanaopingz kuwa ni watu wakorofi .

Ntobi haoni tu kuwa Tundu Lisu ndiye Mwenyekiti wa Chadema ajaye ndio maana hata chaguzi zinazoendelea amepewa rungu la kusimamia na kupinga vitendo vya Rushwa bila hofu.
 
Kupingwa si kosa ila hapo inaonekana ni namna ya upingaji, maneno ya kejeli, kuchafuana na yasiyo na staha.
Binadamu hamuwezi kuwa na mitazamo inayofanana but disagreeing like civilized humans ndiyo jambo jema
Unataka mtu akukosoe alafu usiumie watanzania mnafurahisha sana

Ndo yale yale ya magufuli waliomkosoa akaumia aliwashughulia kisawa sawa eti wamkosoe kistaarabu hiki si kituko
 
kama zzk alipo pinga mkamvisha koti la usaliti
Zitto alikuwa/ni traitor through and through, the difference is Lissu moves zote anazifanya 'out in the open' for all to see, discuss and analyze.
Hauweze kuwa kwenye chama ukawa backbiter usiitwe msaliti, can't you see how Lissu is being supported by the public. Zitto the two headed serpent alifanya hayo au alikuwa akiwala kisogo wenzake?
Pathetically trying to compare the two is so ridiculous.
 
Unataka mtu akukosoe alafu usiumie watanzania mnafurahisha sana

Ndo yale yale ya magufuli waliomkosoa akaumia aliwashughulia kisawa sawa eti wamkosoe kistaarabu hiki si kituko
Reread what I wrote, nimesema kukosoana(kukataana) ni sahihi ili wasitumie lugha zisizo na staha(za kudhalilishana).
They are one click building the same house, hawa bado wanahitajiana in one way or the other. Wakidhalilishana na kuchafuana watajenga mpasuko ambao atakayeshinda uenyekiti atakuwa na extra job kuwaunganisha yaani nguvu, muda na resources nyingi zitatumika ili kuwaunganisha tena badala ya kuwa busy kukabiliana na mambo yanayopaswa kuwa priorities kama kukabiliana na madhila yanayofanywa na dola.
 
Back
Top Bottom