Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Kumtweza lisu sio kosa ni haki yake ya kuongea sasa ulitaka akae kimya ilihali anahaki ya kutoa maoni yakeUchaguzi wowote lazima uwe na upande.ila ukiwa kiongozi kuna namna yakupeleka hisia zako bila kuathiri au kutweza upande mwingine ili baada ya uchaguzi maisha yaendelee.sasa yeye alichokifanya nikumtweza lissu tena mtandaoni na ambaye nikiongozi wake chamani.Hiyo sio sawa kwamtu anayejielewa.
ni vile watanzania bado hawajui nini maana ya demokrasia