kitu amezingua huyu mtu ni kutaka kuondoka katikati ya msimu ikiwa timu ipo kwenye title race, lengo la Azam sio tu kuongeza nguvu kwenye kikosi chao ila pia ni kupunguza makali ya yanga kwenye mbio za ubingwa, ni ngumu yanga kupata replacement yake kwa dirisha hili, inawezekana ila it's so costful.
Lakini Feisal hakuwa na ugomvi na Yanga, suala la kutaka kuondoka Yanga kwa kushitukiza bila makubaliano mazuri na uongozi ni kukulupuka kwa kisingizio cha maslahi, inaonesha wazi yeye na wanaomuongoza ni low level individuals, wasiojua hata kuAnalyze the worst case scenario kwenye future ya mchezaji. Mpira wa Afrika upo nyuma sababu kubwa ikiwa lack of professionalism i.e Mambo ya kienyeji kuanzia maisha ya wachezaji, mambo ya ufundi ndani ya club, sheria na hata ndani ya vyama vya soka.