Alichofanya Joseph Fritzl, hata shetani asingethubutu

Hiki kisa nilikisikia bbc miaka ya nyuma huko.

Ila mawakili mbinguni watapasikia tu yani huyo mzee ni wakutetewa kweli!

Halafu huyo kima alikuwa na matumaini ya kutoka jela aende wapi tenaπŸ™„jinga kabisa afie hukohuko.
 
Hiki kisa nilikisikia bbc miaka ya nyuma huko.

Ila mawakili mbinguni watapasikia tu yani huyo mzee ni wakutetewa kweli!

Halafu huyo kima alikuwa na matumaini ya kutoka jela aende wapi tenaπŸ™„jinga kabisa afie hukohuko.
Ndiyo maana mtu anayeua live hatakiwi kuuawa, alindwe then apewe muda wa kusikilizwa kwa nini aliamua kuua, iliwekezana apewe na ulinzi ili asiuawe hadi hukumu yake itakapotimia - hizi ndizo haki zetu za binadamu zinavyotaka wakati mwingine.

Ila kizamani huyo mzee na yeye angebakwa mfululizo kwa miaka yote ambayo angeishi duniani ili na yeye asikie utamu ulivyo... (dini zetu pia zinakataza kulipiza ubaya kwa ubaya please note down)
 
Shetani anafanya mambo yake kupitia mwanadamu. Hivyo mwanadamu anapofanya jambo lolote baya ujue tayari shetani keshafanya.
Siri ya ulimwengu usioonekana ni beyond our thinking...

Kwa hali ya kawaida kabisa kitu hiki mwanadamu wa kawaifa hawezi kabisa kufanya...ni sawa na baba anayembaka binti yake wa miaka 3...

Haya mambo hayana majibu kwa ulimwengu wetu huu unaoonekana.

Lazima kuna msukumo unaofanilisha mambo haya...kifupi ni roho za mababu...roho za kiukoo zenye kila aina ya laana zinazo kushukia na unakuwa huna choice u need to do it...either u like it or not..roho zinakamata nafsi yako bila ridhaa yako na unafanya chochote zitakazo zenyewe..kiwe kizuri ama kibaya.

Kwa akili ya kawaida kabisa utamwona huyu jamaa si mzima kichwani....

Mambo haya ya laana za familia huwa zinazoibuka baada ya vizazi kadhaa ...unakuta familia ina wasagaji ama mashoga, majambazi, ma changu, mavivu ya kazi..nk

Kuua laana hizi ni kazi kubwa mno!! Ni ma roho yanayoishi katika familia husika na yanakuwa na amri kuu juu yenu.
 
Mzee mpuuzi kweli.. na nyumba akaamua kuuza wakati yupo jela. Si angewaachia watoto wake urithi kidogo ili kuwapunguzia machungu.. sasa hizo pesa jela si atakufa nazo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…