Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
- Thread starter
- #21
Ni king'ang'anizi kila comment yangu yupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni king'ang'anizi kila comment yangu yupo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jennedy Juma tulimsajili kutoka SINGIDA ni familia ile[emoji23][emoji23][emoji23]Hii mechi ya Simba ilikuwa ngumu kwa sababu ya kosa la Kennedy, kwenye mechi kama ile halafu unaamua ku-Maguire ni kitu cha ajabu. Ile wala hata sio reflection bali kutoa kabisa pasi vizuri kwa adui.
Na wala jamaa hakujutia aliona kama kawaida tu,uzuri Kocha akaamua kumtoa kabisa hakurudi tena baada ya halftime.
Tukio la Kennedy mna maoni gani!
Hatariiii [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona huwasemi wanaomtuhumu Kagere?Tunapowaambia Simba Kuna kiwanda Cha kuzalisha wajinga Taifa hili msibishee!!, Hivi kwa mtu mwenye akili timamu na ambaye anajua mpira anaweza kuja na mawazo ya kitoto Kama yako?, Umewahi kucheza mpira?, Mechi ya kwanza dhidi ya Singida hakucheza? Mbona hukutoa tuhuma hizi?. Ndio maana kwenye nyuzi za wapuuzi wa mwaka 2023 nilikutaja.... Una ushambaaa.... 🤣🤣🤣🤣
Family match.Ukifikiria hata alipokuwa anatoa, mchezaji wa Simba asingeweza kuipokea..
Ukweli ni kuwa Kennedy kaifanya ile kwa makusudi kabisa.
Yote kheri. Tusameheane. Singida pia wamsamehe jamaa yetu Kagere
Yaani jana imebaki dk 2 nikaacha kuangalia mpira na kuondoka kwa masikitiko,sijafikika mbali nasikia kelele,kurudi naona imesawazishwa,aisee jana sikutegemea kama kuna siku mbaya simba ni jana wachezaji mpira ulikataa ila timu kubwa ni timu kubwa tuNilisema hili kombe letuuuu....
Kabisaa timu kubwa hata Mungu anakua upande wao...mm nililala dkk ya 70...nikawa nasikilizia kelele japo vibanda umiza vipo mbalii ila huwa nasikia kelele ila jana wapii nikawa nina uchungu balaa nikazima simu..nikajua tumeondoshwa aisee..asubui namuuliza mtu anasema tumepita kwa penalty..ndo nikawasha simu nakutana na zogo instagram...zogo watsup..zogo JF...vyura wanataka kufa kwa presha hahaha....Yaani jana imebaki dk 2 nikaacha kuangalia mpira na kuondoka kwa masikitiko,sijafikika mbali nasikia kelele,kurudi naona imesawazishwa,aisee jana sikutegemea kama kuna siku mbaya simba ni jana wachezaji mpira ulikataa ila timu kubwa ni timu kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule tanga walisema anatoka kwenye mstari alafu anapangua penat kama chizi hivi je kule Zanzibar vipi wanalia na kagere na sio kutoka kweny mstari tenaHalafu wanasahau tu
Mbona Aucho alipiga yenye speed lakini Ally Salim aliidaka?
Waliweka kikao kujadili uwezekano wa Aucho kuhongwa na Simba?
Kiufupi hawaelewekiKule tanga walisema anatoka kwenye mstari alafu anapangua penat kama chizi hivi je kule Zanzibar vipi wanalia na kagere na sio kutoka kweny mstari tena
Mechi inayokuja ya fainali inabidi tumalize mchezo kwa magoli yasiyopigua mawili tena mapema mno, maana inaweza kuletwa zengwe makusudi kombe libaki Zenji.Kabisaa timu kubwa hata Mungu anakua upande wao...mm nililala dkk ya 70...nikawa nasikilizia kelele japo vibanda umiza vipo mbalii ila huwa nasikia kelele ila jana wapii nikawa nina uchungu balaa nikazima simu..nikajua tumeondoshwa aisee..asubui namuuliza mtu anasema tumepita kwa penalty..ndo nikawasha simu nakutana na zogo instagram...zogo watsup..zogo JF...vyura wanataka kufa kwa presha hahaha....
Hiyo uhakika...fainali uhakikaaMechi inayokuja ya fainali inabidi tumalize mchezo kwa magoli yasiyopigua mawili tena mapema mno, maana inaweza kuletwa zengwe makusudi kombe libaki Zenji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niongelee Mimi sio wanao...!!Mbona huwasemi wanaomtuhumu Kagere?
Unawashwa kisimbuzi 🤣
We ni mdau wa Simba nakujua tuseme ukweli ivi viongoz wa Simba awamuon kijili kweli mbadala sahh kabisa wa kapombe msimu wa 2 huu namfatilia bonge la beki speed, tackling, control vyote ana shambulia Ivi duchu ana mzid nn yule tusem ukweliTumemsamehe kama Singida walivyo msamehe Kagere
Utofauti ni kwamba Singida wamemsamehe Kagere wakiwa nje ya mashindano
Kapombe ni mtu mwingine linapokuja swala la right backWe ni mdau wa Simba nakujua tuseme ukweli ivi viongoz wa Simba awamuon kijili kweli mbadala sahh kabisa wa kapombe msimu wa 2 huu namfatilia bonge la beki speed, tackling, control vyote ana shambulia Ivi duchu ana mzid nn yule tusem ukweli