Alichofanya Kennedy mna maoni gani?

Jennedy Juma tulimsajili kutoka SINGIDA ni familia ile[emoji23][emoji23][emoji23]
Kagere alisajiliwa kutoka SIMBA ni makosa ya kibinadamu....[emoji18]
 
Mbona huwasemi wanaomtuhumu Kagere?
 
Marefa safari hii wameyaharibu haya mashindano ya Mapinduzi Cup
 
Ukifikiria hata alipokuwa anatoa, mchezaji wa Simba asingeweza kuipokea..

Ukweli ni kuwa Kennedy kaifanya ile kwa makusudi kabisa.

Yote kheri. Tusameheane. Singida pia wamsamehe jamaa yetu Kagere
Family match.
 
Nilisema hili kombe letuuuu....
Yaani jana imebaki dk 2 nikaacha kuangalia mpira na kuondoka kwa masikitiko,sijafikika mbali nasikia kelele,kurudi naona imesawazishwa,aisee jana sikutegemea kama kuna siku mbaya simba ni jana wachezaji mpira ulikataa ila timu kubwa ni timu kubwa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaa timu kubwa hata Mungu anakua upande wao...mm nililala dkk ya 70...nikawa nasikilizia kelele japo vibanda umiza vipo mbalii ila huwa nasikia kelele ila jana wapii nikawa nina uchungu balaa nikazima simu..nikajua tumeondoshwa aisee..asubui namuuliza mtu anasema tumepita kwa penalty..ndo nikawasha simu nakutana na zogo instagram...zogo watsup..zogo JF...vyura wanataka kufa kwa presha hahaha....
 
Halafu wanasahau tu

Mbona Aucho alipiga yenye speed lakini Ally Salim aliidaka?

Waliweka kikao kujadili uwezekano wa Aucho kuhongwa na Simba?
Kule tanga walisema anatoka kwenye mstari alafu anapangua penat kama chizi hivi je kule Zanzibar vipi wanalia na kagere na sio kutoka kweny mstari tena
 
Mechi inayokuja ya fainali inabidi tumalize mchezo kwa magoli yasiyopigua mawili tena mapema mno, maana inaweza kuletwa zengwe makusudi kombe libaki Zenji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumemsamehe kama Singida walivyo msamehe Kagere

Utofauti ni kwamba Singida wamemsamehe Kagere wakiwa nje ya mashindano
We ni mdau wa Simba nakujua tuseme ukweli ivi viongoz wa Simba awamuon kijili kweli mbadala sahh kabisa wa kapombe msimu wa 2 huu namfatilia bonge la beki speed, tackling, control vyote ana shambulia Ivi duchu ana mzid nn yule tusem ukweli
 
We ni mdau wa Simba nakujua tuseme ukweli ivi viongoz wa Simba awamuon kijili kweli mbadala sahh kabisa wa kapombe msimu wa 2 huu namfatilia bonge la beki speed, tackling, control vyote ana shambulia Ivi duchu ana mzid nn yule tusem ukweli
Kapombe ni mtu mwingine linapokuja swala la right back

Na yule sio right back tu hata right wing anaimudu vyema.

Inawezekana kwenye tackling Kigili akawa zaidi ya Kapombe lakini akapwaya sehemu ya muhimu.

Kapombe ndio beki inayoongoza kwa kupiga cross zenye accuracy za juu. Kwa misimu miwili iliyopita huyu ndio alikuwa top defender mwenye assist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…