Huyu Pierre hajihusishi na siasa, hatukani MTU, anakunywa kwa furaha ya maisha yake. Kosa lake ni kuwa na nyota ya kupendwa na wananchi? Hajawahi kuita waandishi was habari kujitangaza.Kwa hilo tupo pamoja sana
In God we trust
Huyu Pierre hajihusishi na siasa, hatukani MTU, anakunywa kwa furaha ya maisha yake. Kosa lake ni kuwa na nyota ya kupendwa na wananchi? Hajawahi kuita waandishi was habari kujitangaza.
.Kwanini umeamua kuwachokonoa watanzania ambao sifa yao kubwa ni kusahau.sasa ona hili la liquid limeamsha mengi mpaka sasa umu forum kila uzi ni wewe tu eeeh kwanini waga uchutami hata kidogo ukaacha mambo yaendelee. Lakini nikushauri ebu rejea zile seven effective quality of a good communication itakusaidia katika uzungumzaji wako. Maana sio kwa haya niyaonayo mitandaoni .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana makampuni hayatajitowa,Bali ndo kwanza yataongezeka, ni kama kumpiga chura teke.Nimeona alichozungumza makonda Jana, na hiki ndicho kinachoakisi mawazo ya watawala wetu wengi..
Nini kosa la Pierre "Konki liquid", Amevunja Sheria gani ya nchi?.
Makonda hajui kwamba Pierre ni comedian na anaitumia Sanaa yake kupitia pombe?, Kati ya Pierre na msiba ni nani ni mtu wa hovyo kwa taifa hili?
Makonda, umemkosea Pierre sijui alijisikiaje konki liquid baada ya kudhalilishwa kule na yeye akiwepo, pamoja na kwamba una cheo kumzidi lakini hukupaswa kumdhalilisha vile, ungepaswa kutumia busara na hekima za kiuongozi., Sidhani Kama vituko na media kumtangaza Pierre ndivyo vinavyosababisha kuporomoka kwa maadili na kujenga kizazi Cha hovyo hapa nchini, sio kweli tusimsingizie Pierre ambae anahangaika na ubunifu wake wa kutumia pombe kuutafta mkate wake.
Walikuwepo wasanii akina John walker, utofauti wa Hawa wawili mmoja ni msanii wa music na mwingine comedian.., Kaka makonda unafanya kazi nzuri ila unakosa hekima na busara., Kwa kauli yako ya Jana kampuni nyingi zitasitisha mkataba na huyu bwana unaeenda kumrudisha kwenye umaskini .. hakika hii ni dhambi, huyu hajaiba, hajakwepa kodi na Wala sio mla rushwa, hakustahili udhalilishaji uliomfanyia.
Anyway nyie ndo Aina ya Viongozi mnaotupeleka Tanzania ya viwanda na uchumi wa Kati...Pole kwako konki liquid kwa hili najua wameshakupoteza tayari, ila mungu yupo anaweza kukutoa kivingine.. hakuna ridhiki inayozimwa na binadamu
.Mtu anapata umaarufu kisa kujitoa akili tu na kusema chiiiiii,mama nakufa, hahahaha ila piere atabaki kuwa juu mawinguni...
Uzi tayar
Be precise plz.Ameomba radhi kwa kumdhalilisha Pierre au ni taarifa kuwa alitafsiriwa vibaya na hadhira yake?Yapata masaa machache, baada ya kusambaa kauli ya mheshimiwa Makonda aliyoitoa katika hafla ya Tokomeza zero!
mjadala Umepinduka, badala kujadili mengi yaliyosemwa pale, watu wameshikia bango "kauli ya makonda kwamba waache kushadadia mambo ya hovyo"
Nimewasiliana na Mheshimiwa makonda asubuhi hii; kasema walimwelewa Vibaya! Hakuwa na maana mbaya juu ya Pierre! kasema hata yeye anampenda Pierre, alichokisema pale kwenye hafla, Alimaanisha waandishi Wa habari kuliko kujikita kuwapa promo na airtime watu wanaoendekeza anasa na starehe, wafanye na mambo yenye tija kuliinua taifa, kasisitiza, alimaanisha kwamba waandishi wasigemee kutoa promo kwa watu wa starehe tu, waelimishe pia umhimu Wa ELIMU bora kwa watoto wetu"
Pierre kwasababu ni rafiki ake na ni mtani wake, alitoa mfano lakini hainamaana hampendi Pierre!
anatambua mchango Wa Pierre katika uhamasishaji wake Mkubwa alioonesha katika mechi ya mashindano ya AFCON TZ vs UG.
anatoa rai kwa wanasiasa na wanaharakati kushikamana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, waache kudandia mambo yasiyo na tija!
Kasema kwa mfano; Ile hafla yalisemwa mambo mengi sana na ya msingi, lakini kashangaa kuona imetapakaa taarifa hiyo moja tu!
Ingawa pia mheshimiwa pamoja na kutambua kuwa " BAD STORY KWA WAANDISHI KWAO NDIYO GOOD STORY "
Lakini Makonda kasisitiza wananchi Tujikite kwenye mambo ya Msingi!..
Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!
Napigilia msumari hapa.Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Hahahaaaa jibu lipo wazi kabisa mkuu!! Mtu aliyetumia mihela ya wazazi wake waliomsomesha kisha kisha Akaja na masifuri tupu nyumbani huyo ni mtu wa hovyo!! Mtu ambaye aliiba cheti cha mtu mwingine na kuiba hadi jina huyo ni wa hovyo!! Mtu aliyekosa adabu hadi kufikia kumpiga ngumi hadharani mtu mwenye umri wa babu yake huyo ni takataka na wa hovyo kabisa!! Mtu anaye jivua utu wake na ubinaadamu ili tu apewe cheo huyo ni wa hovyo! Mtu amepewa cheo na anakitumia kufanya mambo ya kipumbavu kama kuvamia ofisi za watu kwa bunduki na kulazimisha kupewa msamaha wa kodi bandarini kwa lazima huyo ndiye wa hovyo!! Mtu anayeropoka ropoka na kutajataja majina ya watu huku akiwatuhumu kwa mambo ya uzushi usio na ushahidi huyo ni pumbaf na wa hovyo kabisa!!Kati ya Pierre na makonda, nani wa hovyo?
Huwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.
Kwanza huyo Pierre ni msanii wa kitu gani? Yan Taifa linaacha kujielekeza katika hoja zinazojenga na kuendeleza vizazi vijavyo, elimu, afya na ustawi wa jamii, tunakaa kusifia pombe na kukuza majina ya walevi.
Hapa jirani Kenya tu hawana trend za kipumbavu hivi. Juzi niliona Msanii wa Kenya anashangaa wa Tz wanavyo comment kwenye post za watu maarufu "wanauza uchi na wanawake kwenye magroup" ndiko taifa la wapumbavu likikofika na wafuasi wa vitu hivi wengi na vitoto vya sekondari na chuo wanaolia kila siku hawana ajira.
Kesho kabinti kamemaliza form 4 kanafungua akaunti ya kukaa uchi akiuza **** kwasababu tu ukifanya hivo Nchi hii ndio una trend
Naunga mkono kabisa kemeo la Makonda
Dumelang
Soma uelewe nilichoongelea ujajibu kitu unauliza swali.Kwaio tuendelee kukuza kizazi kinachotafuta ajira kama za akina ambaruty instagram? Sio
Dumelang
Alitafsiliwa vibaya! MkuuBe precise plz.Ameomba radhi kwa kumdhalilisha Pierre au ni taarifa kuwa alitafsiriwa vibaya na hadhira yake?
Kwani kuna aliyekushika mkono kufatilia mambo Yasiyo ya msingi?? Hata walioendelea wana watu wakila dizaini watu wanacho pinga ni udhalilishaji aliofanya makonda kumuita mtu wa hvyo jambo ambalo kwa katiba ya nchi nikosaHuwa simuungi mkono Makonda lakini jana kaongea point. Nchi imekuwa ya wajinga hii, mambo yakipumbavu ndio tunayapa kipaumbele.