Nasi tunalialia huku kwenye mitandao iliyosheheni wasomi lakini Pierre hawezi pata msaada wa wanasheria ili ikajulikane kati yake Pierre na mwizi wa vyeti nani mtu wa hovyo kwenye jamii!Bashite ana wivu wa kike
Vita hii ya maneno sio kati ya bashite na Pierre Bali ni ya jokate na bashite.
JOKATE is the next RC of dar es salaam
Mwengine huyu hapa...ivi akat akina marehem agnec masogange na akina madinda walipopata umaarufu sabab ya makalio yao mlikua wapi kuwasema mnakuja kumsema mchekeshaji...ebu jadili Hili...sabab sidhan kama Pierre karudisha nyuma harakati za serekali au m2 flani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni nani aliyekwambia kuwa Pierre ni mlevi?? Pierre ni mfanya vituko tu na wala hajavunja sheria yoyote!Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!
Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???
Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????
Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!
Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa
Full stop!
Sent using Jamii Forums mobile app
huenda yupo sahihi lakini kauli aliyotumia sio nzuri mbele ya watu,tv na makamera eti pieere ni mtu wa hovyo hovyo tu hana maana mtu mpaka kaalikwa then unaongea pumba unazani anajisikiaje? kwamba amealikwa kuja kuaibishwa! hao wa maana wapo kibao wamealikwa hawakwenda lakini pieere kaenda nakatuoa hadi mchango wa hela kama laki mojaWaweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!
Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???
Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????
Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!
Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa
Full stop!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani eti anaharibu watoto...??? mamaee hivi piete ndo mtu pekee anaekunywa pombee tanzania????? Watz kwa roho za kwa nini tumezidi mamaeee...Ni nani aliyekwambia kuwa Pierre ni mlevi?? Pierre ni mfanya vituko tu na wala hajavunja sheria yoyote!
Huyo mtoto wako ushindwe kumlea usingizie ulevi!? Hebu acha utani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani kazingua namna ya Kuongeaa...!! Hakutakiwa kumtaja Piere direct wala kumsema vibaya mbele za watu....[emoji22][emoji22][emoji22]huenda yupo sahihi lakini kauli aliyotumia sio nzuri mbele ya watu,tv na makamera eti pieere ni mtu wa hovyo hovyo tu hana maana mtu mpaka kaalikwa then unaongea pumba unazani anajisikiaje? kwamba amealikwa kuja kuaibishwa! hao wa maana wapo kibao wamealikwa hawakwenda lakini pieere kaenda nakatuoa hadi mchango wa hela kama laki moja
jamaaa kazingua mwenye shughuli yake jokate kasema ameuona mchango wa pieere na anaomba samahani hakujua kama hayo yatatokea na amesema kuna watu kibao kawaalika waje lakini hata kuja tu hawakuja ila piere kaenda ila jamaa yeye anakaza tu na post zake bora angekaa hata kimya tuYani kazingua namna ya Kuongeaa...!! Hakutakiwa kumtaja Piere direct wala kumsema vibaya mbele za watu....[emoji22][emoji22][emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio watu ninaowapenda ktk maisha yangu yaani unajenga hoja siyo kubishana hongera mkuu umekuwa na hekima sana kwa hili!!!huenda yupo sahihi lakini kauli aliyotumia sio nzuri mbele ya watu,tv na makamera eti pieere ni mtu wa hovyo hovyo tu hana maana mtu mpaka kaalikwa then unaongea pumba unazani anajisikiaje? kwamba amealikwa kuja kuaibishwa! hao wa maana wapo kibao wamealikwa hawakwenda lakini pieere kaenda nakatuoa hadi mchango wa hela kama laki moja
Hahaa!! Jamaa miyeyusho sana, anajiona yuko 140 kamaliza, kumbe zipo za 160,180,200,220,240 na kuendelea huko.
Lugha aliyotumia ni mbayaWaweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!
Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???
Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????
Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!
Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa
Full stop!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo unafanya utani!!!Ni nani aliyekwambia kuwa Pierre ni mlevi?? Pierre ni mfanya vituko tu na wala hajavunja sheria yoyote!
Huyo mtoto wako ushindwe kumlea usingizie ulevi!? Hebu acha utani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yapata masaa machache, baada ya kusambaa kauli ya mheshimiwa Makonda aliyoitoa katika hafla ya Tokomeza zero!
mjadala Umepinduka, badala kujadili mengi yaliyosemwa pale, watu wameshikia bango "kauli ya makonda kwamba waache kushadadia mambo ya hovyo"
Nimewasiliana na Mheshimiwa makonda asubuhi hii; kasema walimwelewa Vibaya! Hakuwa na maana mbaya juu ya Pierre! kasema hata yeye anampenda Pierre,
alichokisema pale kwenye hafla, Alimaanisha waandishi Wa habari kuliko kujikita kuwapa promo na airtime watu wanaoendekeza anasa na starehe, wafanye na mambo yenye tija kuliinua taifa, kasisitiza, alimaanisha kwamba waandishi wasigemee kutoa promo kwa watu wa starehe tu, waelimishe pia umhimu Wa ELIMU bora kwa watoto wetu"
Pierre kwasababu ni rafiki ake na ni mtani wake, alitoa mfano lakini hainamaana hampendi Pierre!
anatambua mchango Wa Pierre katika uhamasishaji wake Mkubwa alioonesha katika mechi ya mashindano ya AFCON TZ vs UG.
anatoa rai kwa wanasiasa na wanaharakati kushikamana kwa ajili ya maendeleo ya Taifa, waache kudandia mambo yasiyo na tija!
Kasema kwa mfano; Ile hafla yalisemwa mambo mengi sana na ya msingi, lakini kashangaa kuona imetapakaa taarifa hiyo moja tu!
Ingawa pia mheshimiwa pamoja na kutambua kuwa " BAD STORY KWA WAANDISHI KWAO NDIYO GOOD STORY "
Lakini Makonda kasisitiza wananchi Tujikite kwenye mambo ya Msingi!..
Anaomba radhi kwa Pierre na wananchi kwa Ujumla! Mjadala umekwisha!!
pierre anakunywa bia tu na sio mlevi..Waweza kuona jinsi au aina ya watz tulionao!!!! Ni aibu kubwa mno kwa watz kushabikia ulevi !!!
Makonda yuko sahihi kama leo hii tunamuona huYu anafaa na kama sababu ni ishu ya kipato kwann jamii inawapigia kelele wachungaji matapeli ???
Je kama ndivyo ilivyo kwann tulimpiga vita na kumuona s wa maaana Nabii Tito????
Ukweli utabaki pale pale watz wengi hatufikiri kwa kina ndio maana tutabaki kulialia wenzetu wanapiga hela !!!
Kwa pierre yeye anaona faida yake lakn jamii tunayoijenga tujiuliza inajifunza nn kwa vitendo vya ulevi wake??? Hv hatuoni huyu jamaa anakundi kubwa la wanaomfuata nyuma na wengi wao ni vijana???? Hata wakubwa hatuoni kila mmja wetu sashv anahangaika kulewa sana ili nawe awe kama Pieere???? Je hata kama havunji sheria za nchi ulevi una impact gani kwa watz???? Tuacheni ushabiki na ukiangalia wengi wanaounga mkono aidha wana chuki na makonda au ni wanachama ama ni watu waliokata tamaa
Full stop!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo mpuuzi !!! Mara ngapi jamii inapiga vita mtendo mabaya kama ulevi???? Hv ww unaongea kwa kufikiria??? N vijana wangapi wanaishia kwenye ulevi ???Wewe ni mpuuzi... Kwamba liquid ndo mlevi wa kwanza tanzania??? yani watoto waache kujifunza kwa walevi waliopo mitaani kwaoo leo waje kujifunza kwa liquid??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acheni kumtwisha dhambi kijana wa watuu... Bashite kazingua ndo maana hakuna anaemuunga mkono.. Huwezi mdhalilisha kijana wa watu kiasi kile wakati hata wewe Unamengi mabayaa na pia unatumia walevi wa madawa ya kulevya na malaya kuhamasisha michezo na kupunguza bei ya vilevi watu walewee... Bashite kazinguaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
poa poa mkuu kiongozi inatakiwa kidogo atumie hekima na busara hata kidogo.Hawa ndio watu ninaowapenda ktk maisha yangu yaani unajenga hoja siyo kubishana hongera mkuu umekuwa na hekima sana kwa hili!!!
Naunga mkono hoja yako kwamba kosa la makonda liko pale kwenye hayo maneno !!! Angetumia hata maneno mengine ila syo kufanya total devaluation kwa mhusika !!!
Lakn kupitia comment yako hii nmejifynza kitu kwamba ukiwa kiongozi unatakiwa uwe kiongozi kweli , so Makonda binafs kama alikuwa na lengo la kupiga vita ulevi namuunga mkono ila kama alikuwa na hoja zake bikafs ikiwemo chuki hapo kachemka !!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anko unajua kitu kinaitwa eco system??? Hivi hao walevi mnaowaita wa hovyo umeshawai kujiuliza wakigoma kunywa pombe hata week tuu nini kitatokea??? Kifupi kila MTU uwepo wake hapa duniani unafanya mambo mengne nayo yaende..From day one nilivyo skia huyu mlevi nae ni mtu maarufu nikajua kabisa Tanzania inahitaji kujitathimini upya, kuna kila sababu za msingi Paul Makonda akabidhiwe nchi baada ya Magufuli, maana naona Tanzania kuna wapumbafu wengi sana kiasi kwamba kwa level za Uzee wa Magufuli hawezi kukabidhia nazo.....