Alichofanya Ronaldo kwa Zidane ni sahihi?

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
Ronaldo-sura.png

Cristiano Ronaldo ameonesha kitendo cha utovu wa nidhamu mbele ya kocha wake Zinedine Zidane pale alipofanya uamuzi wa kumpumzisha mshindi huyo wa Champions League na European Championship wakati wa game dhidi ya Las Palmas.

Ronaldo alikunja sura kuonesha kuchukizwa na maamuzi ya Zidane kuhusu kumpumzisha.

Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Ronaldo kupumzishwa kwa sababu za kiufundi wakati wa mchezo mgumu.

Wakati Ronaldo anapumzishwa dakika ya 72, Real Madrid ilikuwa inaongoza kwa 2-1 mbele ya Las Palmas. Zikiwa zimesalia dakika 5 mechi kumalizika, Las Palmas wakasawazisha kwa goli la Sergio Araujo.

Mwisho wa mchezo, Real Madrid ikapoteza pointi mbili wakati ilikuwa ikipambana kurejea kileleni mwa La Liga baada ya Barcelona kushinda 5-0 kwenye mechi yao ya mchana.
 
Ni kawaida katika mpira hakuna mchezaji anaependa kupumzishwa wakati bado anatamani kuendelea kucheza...MIDo yule wa Misri alishawahi mgomea Kocha wake kutoka ila kilichompata
 
Zidane sio Ancelot au Benitez kwake Club ni bora kuliko mtu mwenye majivuno sababu bila Madrid hata hyo tuzo ya UEFA asingepata
 
View attachment 406726

Cristiano Ronaldo ameonesha kitendo cha utovu wa nidhamu mbele ya kocha wake Zinedine Zidane pale alipofanya uamuzi wa kumpumzisha mshindi huyo wa Champions League na European Championship wakati wa game dhidi ya Las Palmas.

Ronaldo alikunja sura kuonesha kuchukizwa na maamuzi ya Zidane kuhusu kumpumzisha.

Hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Ronaldo kupumzishwa kwa sababu za kiufundi wakati wa mchezo mgumu.

Wakati Ronaldo anapumzishwa dakika ya 72, Real Madrid ilikuwa inaongoza kwa 2-1 mbele ya Las Palmas. Zikiwa zimesalia dakika 5 mechi kumalizika, Las Palmas wakasawazisha kwa goli la Sergio Araujo.

Mwisho wa mchezo, Real Madrid ikapoteza pointi mbili wakati ilikuwa ikipambana kurejea kileleni mwa La Liga baada ya Barcelona kushinda 5-0 kwenye mechi yao ya mchana.
Mechi na Dortmund ilikuwa ngumu sana kwa hiyo ilikuwa muhimu apumzishwe kama silaha muhimu
 
Back
Top Bottom