chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
Shilole anfanyaga show zenye utata utata ili kuzua gumzo, na mara hii kama kawaida yake alizua utata kwa show yake ya Fiesta hukoooooo
MUNGU WANGUShilole ndio my favorite kati ya wadada wote wa Bongo Fleva. Sio yule kiuno kigumu kama ngumi anajiita Commando. Sisi tukitaka kuona ukomando tunaangalia movie, ukiimba mziki kata kiuno utuburudishe, we vipi bhana!!!
Kama kweli vileNasikia mayowe tu,ujana kweli tabu
piga pesa kiuno mali ya mungu amekukodishia kwa muda mamaaa..Shilole anfanyaga show zenye utata utata ili kuzua gumzo, na mara hii kama kawaida yake alizua utata kwa show yake ya Fiesta hukoooooo
piga pesa kiuno mali ya mungu amekukodishia kwa muda mamaaa..Shilole anfanyaga show zenye utata utata ili kuzua gumzo, na mara hii kama kawaida yake alizua utata kwa show yake ya Fiesta hukoooooo
Shilole ndio my favorite kati ya wadada wote wa Bongo Fleva. Sio yule kiuno kigumu kama ngumi anajiita Commando. Sisi tukitaka kuona ukomando tunaangalia movie, ukiimba mziki kata kiuno utuburudishe, we vipi bhana!!!
umenimaliza mkuu.Shilole ndio my favorite kati ya wadada wote wa Bongo Fleva. Sio yule kiuno kigumu kama ngumi anajiita Commando. Sisi tukitaka kuona ukomando tunaangalia movie, ukiimba mziki kata kiuno utuburudishe, we vipi bhana!!!