Alichofanya Shilole kwenye Fiesta

Alichofanya Shilole kwenye Fiesta

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Shilole anfanyaga show zenye utata utata ili kuzua gumzo, na mara hii kama kawaida yake alizua utata kwa show yake ya Fiesta hukoooooo
 
Teh teh anajua wabongo mnapenda hizo ndo maana anafanya mi niliwah kumbambia kwenye show yake kwenye mabano had nikapga bao[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mzunguuko wote wa Fiesta utamuingizia si chini ya 40m au 50m (kwa jinsi nilivyoipata) wakati huo anasafirishwa,analala,anakula kwa gharama za waandaaji.Sasa nyinyi muoneni mwehu yeye maisha yanamnyookea.
 
Shilole ndio my favorite kati ya wadada wote wa Bongo Fleva. Sio yule kiuno kigumu kama ngumi anajiita Commando. Sisi tukitaka kuona ukomando tunaangalia movie, ukiimba mziki kata kiuno utuburudishe, we vipi bhana!!!
 
MUNGU WANGU
 
Globalization.jambo likifanywa mara kwa mara kwa muda mrefu linakuwa la kawaida.huwezi kuwa suprised tena na kitu unachokiona mara kwa mara.kufanya show stejini sio lazma uvae hivi.Kwenye hii video show ya Mr blue safi sana full shangwe
 
Ha ha ha haa
Shilole ndio my favorite kati ya wadada wote wa Bongo Fleva. Sio yule kiuno kigumu kama ngumi anajiita Commando. Sisi tukitaka kuona ukomando tunaangalia movie, ukiimba mziki kata kiuno utuburudishe, we vipi bhana!!!
 
Shilole ndio my favorite kati ya wadada wote wa Bongo Fleva. Sio yule kiuno kigumu kama ngumi anajiita Commando. Sisi tukitaka kuona ukomando tunaangalia movie, ukiimba mziki kata kiuno utuburudishe, we vipi bhana!!!
umenimaliza mkuu.
 
Back
Top Bottom