Alichofanyiwa Diamond Marekani ni udhalilishaji

Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini mtihani mmoja wengine wanapata zero? Je umewahi kujiuliza pia ni kwa nini wewe haujawahi kuwa number one darasani?

Majibu ya maswali hayo utayapa ukirudia kusoma thread yangu na huu ushuzi wako uliondika hapa.
 
"Sasa basi kilichonikera Mimi ni hawahawa wababaishaji kumtapeli tena Diamond wakamchukuwa video clip ati Diamond anawaomba mashabiki " poa mi nilichoandika ushuzi, ila mi nilikuwa napinga hiyo paragraph yako ukiyoandika kama unabisha nenda BONGO5 habari wameiandika vizuri, sio hii yako ya UZUSHI.
 
Nani kakwambia nilienda kupiga picha daraja la Kigamboni?

Na ubaya uko wapi kama nilienda kwa usafiri wangu na kutumia kamera yangu?

Kamera yangu hata nikitaka kupiga picha mavi ya paka napiga tu. Si ni yangu....kwani yako?
tehteh
 
kumbe anavowachezea akina dada wafurahi? akome
 
Mnnh nyimbo ishirini na nane zote hizo au aliimba na za yamoto band ? Nchi ina vituko hii
 
DIAMOND hajatapeliwa labda kama kutapeliwa wametapeliwa Mashabiki, kwa sababu DIAMOND alishachukua hela yake wiki 2 kabla ya onyesho alishatumiwa nusu ya pesa yote ya shoo,tiketi za watu wake wote na wapi atafikia kwa watu wake na alishaenda Salam kuweka sawa hayo kabla ya DIAMOND kupanda ndege, na hela iliyobaki alimaliziwa kabla hajapanda stejini. DIAMOND kawaomba samahani mashabiki kwavile hakumaliza nyimbo zote zilizokuwa kwenye ratiba na si vinginevyo.
 
Umeshawahi kujiuliza ni kwa nini mtihani mmoja wengine wanapata zero? Je umewahi kujiuliza pia ni kwa nini wewe haujawahi kuwa number one darasani?

Majibu ya maswali hayo utayapa ukirudia kusoma thread yangu na huu ushuzi wako uliondika hapa.
....hahahahahaha...acha mashauzi!..watu wazima tunajua Kinondoni Muslim walikuwa wanasoma mazwazwa vichwa nazi grade ya mwisho kabisa!
...we akili umepata lini?
 
Kwahyo ulitaka wakuite ww ukaekt au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…