Alichofanyiwa Diamond Marekani ni udhalilishaji

Alichofanyiwa Diamond Marekani ni udhalilishaji

Kirefu chake ni Washington DC, Maryland na Virginia huo ni mjumuisho wa Dc Md na Va.
 
Matola

Maelezo yako upo sahihi kabisa!

Kwa upande mwingine, Diamond yupo sahii kabisa kibiashara kuwataka radhi mashabiki wake. Yeye ndie front line person... shabiki hakuja kwenye show kwa ajili ya muandaaji bali kwa ajili yake. Sasa hata kama halikua kosa lake bado alikuwa na wajibu wa kuwataka radhi mashabiki ili kuonesha kwamba hata yeye hakuifurahia hali hiyo but it's beyond his control!

It's all about customer service dude! It's like wewe upo kwenye bar yako; kaja mteja ukamuuzia bia! Kwenda kufungua anakuta mende ndani ( enclosed from kiwandani)! Bila shaka uta-apologize kwa mteja ingawaje unafahamu mende huyo hukumweka wewe wala yeyote hapo bar but from kiwandani... simple as that!

Kuhusu kutapeliwa; I doubt! Diamond huwa hapandi jukwaani kabla hajamaliziwa pesa yake! But listen... inawezekana kweli walitaka kumtapeli ndo maana akachelewa kupanda! Sasa nadhani ktk kubishana lazima amaliziwe mpunga kwanza; ndipo waandaaji wakachomokea wasanii uchwara kuwa-keep busy mashabiki wakati wana-settle na Diamond!
 
....hahahahahaha...acha mashauzi!..watu wazima tunajua Kinondoni Muslim walikuwa wanasoma mazwazwa vichwa nazi grade ya mwisho kabisa!
...we akili umepata lini?
Wenyewe wakija wakakuteka na kukuchinja usije ukasingizia thread yangu ndio imekuponza maama hawa jamaa hawauwi kwa risasi ni lazima wakuchinje kama kuku.
 
Wewe Pimbi acha kujipendekeza kwangu ndorooooooobo wewe!

Topic umeianzisha wewe, umepataja DMV, mdau kakuuliza DMV ni wapi unamwita Nyani Ngabu akujibie wakati wewe jibu unalijua, sasa najiuliza kama siyo kujipendekeza kwa wanaume wenzio ni nini?

Toa jibu au kama hujui sema sijui.
 
Back
Top Bottom