Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox naomba umpe ufafanuzi Huyu mdau kirefu cha DMV.Samahani mtoa mada, DMV ndo wapi?
Dah nimekusoma, kwa mtu ambae sio wa huko kwa sana bas asingeweza kujua hyo!Kirefu chake ni Washington DC, Maryland na Virginia huo ni mjumuisho wa Dc Md na Va.
Wenyewe wakija wakakuteka na kukuchinja usije ukasingizia thread yangu ndio imekuponza maama hawa jamaa hawauwi kwa risasi ni lazima wakuchinje kama kuku.....hahahahahaha...acha mashauzi!..watu wazima tunajua Kinondoni Muslim walikuwa wanasoma mazwazwa vichwa nazi grade ya mwisho kabisa!
...we akili umepata lini?
Kwa uandishi huu bado unajishangaa kwa nini ulipata division zero?Kwahyo ulitaka wakuite ww ukaekt au
Nyani Ngabu Rais wa wabeba mabox naomba umpe ufafanuzi Huyu mdau kirefu cha DMV.
Wewe Pimbi acha kujipendekeza kwangu ndorooooooobo wewe!
Kupata jibu lako laulize serikali ya awamu ya 5Kwa uandishi huu bado unajishangaa kwa nini ulipata division zero?