Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Mlifikiri CDM wanamwogopa Zitto, kwamba hawatathubutu kumgusa, mmechemsha, njooni mchukue Mzoga wenu haraka.
 

Lazima wasikitike kwani lengo lao walijua ZITTO atagombea uenyekiti na wangefanya kila hila ili apite na hapo wangekuwa wamefanikiwa kuivuruga CHADEMA lakini wanasikitika kwa kuwa ZITTO yeye anachotaka ni kugombea Urais na kuwa mwenyekiti wa Chama Taifa hivyo kumkaribisha CCM ni kungiza NYOKA hivyo wamepatwa na KOHORO.
 
yawezekana hujasoma hapa

 

Ha ha ha ha!
Niitieni Mchungaji Msigwa!
 
yani mtu kuhoji matumizi ya Ruzuku ni kosa?

Mtu kusema chama hakija kaguliwa ni kosa?

Haya sasa Godbless J Lema na Henry Kilewo wameachiwa chama chao.
 
Last edited by a moderator:
mlitakiwa japo muoneshe furaha ya usoni tu, kwa kusikitika kwenu ndo mnaonyesha jins mlivyo vihiyo aka division v
 
Imekuuma sana maana mbinu zenu zimestukiwa, mlilipa pesa ndefu mno sasa mumdai maana mlichotaka hajakamilisha
 
nimeamini we bingwa wa "KUROPOKA...." akili zako zikusaidie basi kufikiri kabla hujaandka hoja nyepesi kama hazi.
 
Mungu kilinde chadema kisife kina mengi ya kuikosoa serikali yetu.
 
first kuwatoa madarakani, then uanachama.....then for what they know...kitachofuata ni kuwaua na kuiframe serikali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…