palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
nona hii thread inachechemea haina mwamko kabisa.
Mimi sio mshabiki wa walichokifanya CDM ila nashangazwa na malalmiko ya CCM kumtetea ZZK.
Mheshmiwa una uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kijinga..
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...
Sasa wewe mungi akili yako mbona hata kwenye kisoda haijai kibaka ni lema na kule uk au umesahau mlianza na shetani mtamaliza na shetani.Katika watu wenye akili ndogo Mwigulu upo. Mnabaka yatima mnawaambukiza ukimwi, huku mnadai serikali yenu ndiyo maana watoto wenu wanauza unga hakuna wa kumkamata
Mimi sio mshabiki wa walichokifanya CDM ila nashangazwa na malalmiko ya CCM kumtetea ZZK.
Mkuu mbona chadema kimekufa sasa hata 2015 haujafika.Zitto alikuwa pandikizi la CCM ila kuidhibiti chadema 2015.
Maamuzi ya Dj hayo
Anachagua wimbo anaotaka kupiga yeye sio wanaotaka wasikilizaji