Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

Mabomu yenu mliyoyatega kwa bei mbaya yamelipuliwa kabla ya kuleta madhara ndio maana umeumia sana. Kama sivyo uchungu unaupata wwa nini? pilipili usiyoila inakuwashaje? Imebuma hiyo labda mpandikize wengine!!!
 
Huyu Nchemba akili yake haina akili kwa sasa, kwani amewekeza sana akili yake kwenye tumbo loi!
 
kapuya tumesahau sasa ni zitto, ukiachwa na demu noma sanaa, ila ukigudua msaliti ukamuwai kumuacha waga inauma sana na ukupatia heshima dume.
 
What right do you have to tell CDM what they should do? If Zitto was a think tank as you are purporting why can't you relax and be happy that you fished him? He will learn better in your party where his heart is.
 
Ni ajabu kabisa kwamba Mwigulu pamoja na CCM yako mnawajua vichwa na mnaviacha, nadhani sasa ni muda muafaka kwa CCM kuwatwAa hao wateule
 
Kama hao waliofukuzwa ni mali sana, kama klivyofanya kwa kina Shonza, ruksa kuwachukua. Kama kina Mwampamba walikaribishwa CCM na JK, andaeni tena mkutano kuwapokea kina Zito. Ruksa! Ila Chadema ipo na itaendelea.
 
Maamuzi ya Dj hayo

Anachagua wimbo anaotaka kupiga yeye sio wanaotaka wasikilizaji
 
Deal limebuma hilo kaka, mlitegemea angeendelea kuwa informer wenu, kama hata bomu la Arusha mlipanga nae na CHADEMA waonesha ushahidi, pole sana bwn chemba! Ukisikia maamuzi magumu ndio hayo, unaamua kitu kwa faida ya baadae hata kama utaumia leo.
 
Mheshmiwa una uwezo mkubwa wa kujenga hoja za kijinga.., CDM hakuna udhalimu na kuchukuliana kwa ujinga kama CCM,, watu waliivunja CCM wakaanzisha CCJ mkatulia wakala mabilion ya watanzania kwny RICHMOND na EPA mkatulia pia, wakasabaisha hadi leo CCM kuna mipasuko bdo mnatulia huo n upuuz,,, CDM hakuna mtu alie juu ya sheria hata kama ana uongozi,,, Zitto mlimtuma ameshtukiwa sasa anatemwa inawaumwa,,,,, kiukweli CCM "MMEKUNJA KABLA YA KONA"
 
Ccm walisema Chadema bila zitto itakufa, zitto kuvuliwa uongozi wanahaha tena,wanamtetea abaki chadema! Kwanini msimchukue ili Chadema kife kabisa?
 
kama mnamuonea huruma sana si mumpokeee kama mlivyo mpokea wale wengine mliowapeleka lumumba
 
Tabia za wapiga chabo utazijua tu, kukata viuno kwa ngoma wasiyohusika.

Maamuzi yafanywe na cdm, na kuumia mnaumia nyie?

Teh teh uwiiiiii mbavu. Pole pole
 
Wewe nadhani ndio mwenye akili ndogo sana na unatawala wanaigunga wenye akili nyingi. Mwigulu in short wewe si lolote ni sawa na gari bovu, kwani wewe unamsaada gani kama sio mzigo wa misumari wamejitwisha wana igunga?
 
Mko wengi sana aina yako na bado wenzako nao watakuja na matamko yao
 
Wewe una akili na wasira, Nape, na Lukuvi, na Komba, na Lusinde, halafu bado mganga wenu Prof. Maji? Wewe ungekuwa na akili timamu usingekuwa unafanya ugoro kila leo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…