Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

hizo MASTERS ujue ni notice mtu kujisomea 2,hakuna jipya hata mimi ninazo tatu uongozi ni karama na kipaji toka kwa Mungu nyererena mandela hawakuwa na hizo masters zako unazolalamikia lakini ndo viongozo bara afrika. wewe mwenye masters ya ku-paste kama yangu hapa unataka kutufanya sisi hatuelewi hata kidogo. hata bible inasema Moses led the isralites from bondage in Egypt lakini haisemi alikuwa na kiwango gani cha elimu wala alisoma chuo gani ........cc mwigulu n
 
Teh teh teh teh teh teh,eti huyu ndio mchumi anayejiita kuwa ni wa daraja la kwanza,hajui pumba ni ipi na mchele ni upi,majibu mepesi kwa uamuzi mzito,sasa nani ni akili ndogo kama si wewe 'mchumi daraja la kwanza'
 
Mimi sio mshabiki wa walichokifanya CDM ila nashangazwa na malalmiko ya CCM kumtetea ZZK.
 
Najua hata thesis yake atakuwa ameandika utumbo na kuplagiarise, jinga kubwa, linatumika ccm kama karatasi za kujisafishia.
 
Katika watu wenye akili ndogo Mwigulu upo. Mnabaka yatima mnawaambukiza ukimwi, huku mnadai serikali yenu ndiyo maana watoto wenu wanauza unga hakuna wa kumkamata
 
Chama cha kilaghai kilianza kilaghai na kinakufa kama kilivyoonza.
 
Mwigulu , wewe na William mnachangia sana kumuangamiza Zitto hapa .Zitto ana akili zake na haki za kuamua mambo yake lakini mmekuwa mnakuja hapa na kauli za kumfanya Zitto atiliwe mashaka na Uongozi na wanachama wote wa Chadema .Now what you doing you not harming Chadema ila unamkandamiza Zitto .
 
Katika watu wenye akili ndogo Mwigulu upo. Mnabaka yatima mnawaambukiza ukimwi, huku mnadai serikali yenu ndiyo maana watoto wenu wanauza unga hakuna wa kumkamata
Sasa wewe mungi akili yako mbona hata kwenye kisoda haijai kibaka ni lema na kule uk au umesahau mlianza na shetani mtamaliza na shetani.
 
Mimi sio mshabiki wa walichokifanya CDM ila nashangazwa na malalmiko ya CCM kumtetea ZZK.

Yaani nashangaa kabisa..ZZK anavyotetewa na CCM humu nachoka kabisa!..Hivi jamaa alikuwa ni kiongozi wa CDM kweli?!
 
Maamuzi ya Dj hayo

Anachagua wimbo anaotaka kupiga yeye sio wanaotaka wasikilizaji

Utaweweseka sana cdm inaweza ile ni taasisi siyo ccm chama cha magamba sera kuu linda mafisadi na wanafiki kwa gharama yoyote si mchukueni mbona imewauma sana
 
Mshikaji wewe ni kilaza yani kila kitu unadesa umeanza kwa kuvaa gwanda sasa unaslogani ya Mch Msigwa yani kwa jinsi inavyoonekana unaipenda sana CDM. Mwigulu acha unafiki basi wewe umekuwa lini msemaji wa CDM? Kunya anye kuku wewe kinakuhusu nini!! Mchukueni basi
 
...Mkuu kufiwa tufiwe CHADEMA, kilio kiwe CCM vipi mkuu? Vumilia -nasikia Lumumba bendera zinapepea nusu mlingoti.
 
Mwigulu akili zako za panzi, na nakuambia acha uvivu wa kufikiri! Kuwa makini na unachokifanya siasa sio uwanja wa kucheza baba na mama au kombolela. Ndio maana umekosea na spelling eti "visingio" huo ni ujinga na upumbavu wako unakurupuka tatizo lako!! Mbona hufikirii hata ni kwa sababu gani wenzako wametulia kuona kinachoendelea? Umeshindwa kumaliza magamba na ukurutu ndani ya CCM afu una wazomea walio toa utitiri. Unatuaibisha wasomi na vijana tunaoipenda tanzania. Angalia utabakia GUDULIA LA CHEMBA lisilotumiwa hata kwa kukojolea usiku kwa vikongwe na watoto wasiojiweza kutoka nje usiku!!! KILAZZZZZZAAA.
 
Sijamwona mwanasiasa Tanzania mwenye hiyo akili uliyoiita 'kubwa'. Utendaji wa viongozi wa nchi hii ni mmbovu kuliko nchi zote duniani. Sioni cha kumpigia debe huyu kijana kuondolewa CDM. He deserves to be out for a while, the end justifies the means.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…