Namkubali Sana huyu jamaa adesanya
Hakuna mchezo wa ngumi hatari kama huo
Ila dogo alikalishwa juzi katiNamkubali Sana huyu jamaa adesanya
Usiniambie mkuu? Point au ko kabisa?Ila dogo alikalishwa juzi
Alikalishwa na nan? unamjua kweli israel adesanya last fight alimkalisha Jared ConnonierIla dogo alikalishwa juzi kati
Ila dogo alikalishwa juzi kati
Sio kweli jamaa hajui anachoandikaUsiniambie mkuu? Point au ko kabisa?
Aise😳😳Leo kasema anayeona kupiga ngumi ni kazi rahisi apande ulingoni.Amesema ulingo ni kama kuingia nyumba ya popo bawa kwa kinyume nyume.
Sorry mkuu.. nakiri nimekurupuka. Nimem confuse na dogo mwingine 🙏Alikalishwa na nan? unamjua kweli israel adesanya last fight alimkalisha Jared Connonier