Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli Mkuu utabiri umetimia.kuna kitu kizuri nakiona kwa mandonga. wakati utaongea.
kwa sasa tunamcheka na kumdhihaki kwa vipigo vya KO anavyochezea.
Mungu atakuja kumfuta machozi soon nje ya boxing.
Sasa alivyokua anajinadi mtaani na kina nyumbi bombi wakampatia hadi jeep auze nalo sura akatangaza hadharani mpinzani wake aje na jeneza lake ebwaneee kilichotokea sasa unaambiwa mpaka muda huu Mandonga anatema meno badala ya mate huko